Natafuta pikipiki ya mkataba wa miezi sita

Joined
May 31, 2021
Posts
96
Reaction score
287
Habari ya muda huu, matumaini yangu nyote ni wazima.

Binafsi namshukuru mungu ni mzima wa afya.

Lengo kuu la uzi huu ni nahitaji mtu mwenye pikipiki au mwenye uwezo wa kununua pikipiki tufanye biashara kwa mkataba usiozidi miezi sita niwe nimerudisha pesa ya pikipiki na faida kidogo.

Binafsi kazi yangu ni Process server na ni Court Broker. Ninasambaza barua na nyaraka za mahakamani na kutoka katika law firms mbali mbali hapa dar as salaam.

Kwa mizunguko yangu nahitaj pikipiki ili kukamilisha kwa wakati.

Hivyo basi ninauwezo wa kulipa kwa siku mpaka shilingi 15,000 au 20,000 kutokana na mzunguko wa kazi zangu.

Kwa yeyote mwenye pikipiki au anayeweza kununua pikipiki Niko tayari kuingia naye mkataba na kulipana bila tatizo lolote.

Udhamini upo wa kuaminika na ni wa uhakika.

Kwa maelezo zaidi na makubaliano mawasiliano yangu ni 0623900700.

Tusaidiane nipate na wewe pia upate.

Ahsante.
 
Mkuu kama unatoa mkataba wa pikipiki na mimi nahitaji,kuna mtu atanidhamini.anafanya kazi serikalini.pia nina kiwanja pwani mkuranga nitakiweka dhamana.
ushapata pikipiki ndugu? kuna boss anatoa kwetu huku
 
Habari ya muda huu, matumaini yangu nyote ni wazima.

Binafsi namshukuru mungu ni mzima wa afya.

Lengo kuu la uzi huu ni nahitaji mtu mwenye pikipiki au mwenye uwezo wa kununua pikipiki tufanye biashara kwa mkataba usiozidi miezi sita niwe nimerudisha pesa ya pikipiki na faida kidogo.

Binafsi kazi yangu ni Process server na ni Court Broker. Ninasambaza barua na nyaraka za mahakamani na kutoka katika law firms mbali mbali hapa dar as salaam.

Kwa mizunguko yangu nahitaj pikipiki ili kukamilisha kwa wakati.

Hivyo basi ninauwezo wa kulipa kwa siku mpaka shilingi 15,000 au 20,000 kutokana na mzunguko wa kazi zangu.

Kwa yeyote mwenye pikipiki au anayeweza kununua pikipiki Niko tayari kuingia naye mkataba na kulipana bila tatizo lolote.

Udhamini upo wa kuaminika na ni wa uhakika.

Kwa maelezo zaidi na makubaliano mawasiliano yangu ni 0623900700.

Tusaidiane nipate na wewe pia upate.

Ahsante.
Eti na faida kidogo hahahahha.Hakunaga mtu anakupa jela yake ili akusaidie duniani ukitaka hela ya mwanaume mwenzio muoneshe yy atapataje kikubwa kuliko ww
 
Back
Top Bottom