Nahitaji msaada wa mkataba wa pikipiki

Nahitaji msaada wa mkataba wa pikipiki

TONY LOVE

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
720
Reaction score
380
Habari wakuu, nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba, mpya au used haina shida.ninamzamini wa kuniwekea mdhamana. Ni mfanyakazi wa serikali.pia nina kiwanja pwani cha samani ya Laki 6.mkuranga pwani.uaminifu ni mkubwa sana.
 
Ninayo used namba C tvs haijawahi fanya boda zaidi ya kuendea kazini

Utakua unaleta ngapi kwa siku
 
Nitashukuru sana nikifanikiwa.utakuwa miongoni mwa watu mnaonishika mkono katika kutafuta mafanikio.
 
Back
Top Bottom