Cha msingi nenda hospital kampime ujue mimba ni ya mda gan then take zile days ambazo umelala naye apo utajua" but two dayz teyar mimba iyo apana[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Habari zenu wana jf wenzangu hope mnaelendelea salama ...
Ningependa kuja mtu mwenye idea at least ata kidogo namna ya kufungua new website ... Nina shida nayo tena sana
ASANTE
Hongera sana ndugu yang ulifikiria wazo nzuri nakuleta maendeleo katika jamii .. nitafute kupitia hii no. 0744939000 au ni follow PM endapo kama ujapata uwo mkopo
Hallow ... hope wote mko poa.
Kuna mahali nilikwenda kutembelea nikapata fursa ya KILIMO tena ni kizur sana pia nilifanya utafiti wa maji yapo pia ardhi inarutuba ya kutosha ila hela ya kwenda kufanya uwo MRADI wa kilimo sina naombeni hoja zenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.