Recent content by Tonny Side

  1. Tonny Side

    Msaada: Kuhusu kozi ya Forest Industries Technology

    Hello hanari ya muda huu wadau? Naomba Kama kuuliza kama Kuna mtu ashawahi kusoma au ana uelewa wa hii course Forest Industries Technology, Je inahusiana na nini na baada ya mhitimu kumaliza kozi hii anafanya shughuli zipi?
  2. Tonny Side

    Naomba kuuliza kuhusu majina matatu

    Ooh shukran sana Haina shida kabisa?
  3. Tonny Side

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Habari za muda huu wakuu, Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee? Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na...
  4. Tonny Side

    Naomba kuuliza kuhusu majina matatu

    Habari za muda huu wakuu, Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee? Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na...
  5. Tonny Side

    Naomba ufafanuzi katika hili la Ku certify vyeti

    Hivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku-apload bila ku certify.
  6. Tonny Side

    Graphics design services

  7. Tonny Side

    Natafuta kazi

    Shukrani sana kaka kwa ushauri wako
  8. Tonny Side

    Natafuta kazi

    Mwaka huu 2018
  9. Tonny Side

    Natafuta kazi

    shukrani mkuu
  10. Tonny Side

    Natafuta kazi

    Mimi ni kijana na umri wa miaka 24 .ELIMU yangu degree (bachelor of arts with education) majoring in linguistics and literature. Natafuta kazi au internship au volunteering opportunity yoyote. Napatikana Dar es salaam mawasiliano yangu ni 0768220027
  11. Tonny Side

    Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Nimekuelewa mkuu hongera sana asee kwa fundisho hilo
Back
Top Bottom