Tonny Side
Member
- Jul 1, 2018
- 12
- 5
shukrani mkuuMungu atakusadia utapata tuu Mkuu[/QUOTE
Umemaliza Mwaka GaniMimi ni kijana na umri wa miaka 24 .ELIMU yangu degree (bachelor of arts with education) majoring in linguistics and literature. Natafuta kazi au internship au volunteering opportunity yoyote. Napatikana Dar es salaam mawasiliano yangu ni 0768220027
Mwaka huu 2018Umemaliza Mwaka Gani
Ooh Pole!Tamisemi walitangaza ajira kwa walimu wa literature!Mwaka huu 2018
Shukrani sana kaka kwa ushauri wakoMungu akusaidie, ila ushauri;-
Kwenye CV yako ungeongeza referees angalau wawe 3