Tonny Side
Member
- Jul 1, 2018
- 12
- 5
Hivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku-apload bila ku certify.
Fuata maelekezo yanavyoeleza. Kama umeambiwa upload/ambatanisha certified copies fanya hivyo.Hivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku apload bila ku certify.
Zunguka kote mwisho wa siku kama umeambiwa utume certified copies wewe toa copy peleka mahakamani wapige mihuri ya kuthibitisha kisha scan tuma.Hivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku apload bila ku certify.
Oooh nimekuelewa mkuuZunguka kote mwisho wa siku kama umeambi
Zunguka kote mwisho wa siku kama umeambiwa utume certified copies wewe toa copy peleka mahakamani wapige mihuri ya kuthibitisha kisha scan tuma.
OVER....
Vyeti viwe valid sio kuverifyHivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku apload bila ku certify.
Bado unaendelea kumchanganyaVyeti viwe valid sio kuverify
Inategemea una tuma maombi wapi, mara nyingi hayo mambo yapo, ajira portal. Ajira za utumishi pekee. Ajira zingine haina haja. Kama unatuma ajira za ualimu ni scan original Kisha tuma. Maana ajira za ualimu hakuna interview!Hivi naomba kuuliza wakuu kuhusu ku certify vyeti ukiapply unaweza kuscarn original copies na ku apload bila ku certify.
Daah kumbe wana raha... ngoja tukarudi sasa nikasome ualimu angalau diploma. Mambo ya interview nafasi 5 watu 700 nimeshachoka mie 😭😭😭😭Inategemea una tuma maombi wapi, mara nyingi hayo mambo yapo, ajira portal. Ajira za utumishi pekee. Ajira zingine haina haja. Kama unatuma ajira za ualimu ni scan original Kisha tuma. Maana ajira za ualimu hakuna interview!