Wanieleweshe Tafadhali, Maana hicho chuo cha NIT ndio kinachoaminika East Africa nzima kwa Kozi za Usafirishaji na Ndege, Sasa hizo Pesa zinaenda kuongeza majengo ya kisasa au Kitajengwa kingine halafu hiki kikawa Tawi..
Wengi Wa Kenya mpaka viongozi Kiingereza hamjui vizuri, Kiswahili hamjui vizuri wala Ki lugha chenu cha kabila hamkijui, mnaelea elea tu hewani.. Huku kiswahili ni fluently lugha ya Pili kuongelewa Africa, kinatambuliwa karibu Dunia nzima hata wanapotembelea Africa wanakuja East Africa more...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.