Recent content by tonny miles

  1. tonny miles

    Mwenye uzoefu Kuagiza na ali Express

    Wakuu Salaams.. Kama kichwa cha habari kinavyosema.. Naomba mwenye experience na hawa jamaa wanajiita ali express.. Mizigo inafika? Vitu vinakuja halisi au gozigozi...
  2. tonny miles

    Msaada kwa mtu anayewafahamu hawa jamaa

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza. Nataka kufanya biashara na hawa jamaa kwa anayefahamu au alisha wah kufanya nao biashara naomba kufahamu wana tuma kweli mizigo au longo longo.
  3. tonny miles

    INAUZWA CPU Video Graphics Card for sale

    Quadro Fx3500, Resolution 2560 X 1440 pixels = 2k Good and Powerfull for Gaming and Graphics.. I was using it for video editing... Nakupa na vga cable yake Price 70k
  4. tonny miles

    Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

    @Chizi Maarifa umeshtukia mchongo mtu mbadiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. tonny miles

    Ushauri: Mwanamke nimpendaye nimegundua ana mahusiano na Mume wa mtu

    Ndo wale waleee [emoji445] sponsa niachie MY wangu [emoji445]
  6. tonny miles

    Nimefuta SMS ya token ya Luku kwa bahati mbaya, nawezaje kusaidika?

    Kuna ile code namba ya Malipo na huduma za serikali. Siikumbuki ila anaye jua ataiweka hapa. Ingia pale select luku kama umepoteza token kuna huduma pale unaandika namba ya luku then unaomba roken za muamala wa mwisho.. Done
  7. tonny miles

    Kijana wa kiume unapopata kazi kumbuka haya

    Period... Umemaliza mkuu. Kama ni wali umekula hadi ukoko.. Kuongezea nyama nyama. Saidia wasiojiweza na wenye uhitaji katika pita pita zako.. Ni moja ya sadaka kwa Mungu..
  8. tonny miles

    Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Kazi ninayofanya mimi inahitaji utaalam, uzoefu na ufanisi. Ila natumaini una fani flani labda uombe kazi kwa kutumia fani uliyo nayo.
  9. tonny miles

    Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Kijana wa jana Sina mengi mkuu. Ila ninachoweza kukwambia ni FANYA KAZI. Mnasifia sana utawala uliopita kwasababu maisha yalikuwa rahisi. Unakaa tu maskani ukipiga simu 1 elfu 10 inaingia. Your living standard inatengenezwa na juhudi zako mwenyewe siyo serikali.
  10. tonny miles

    Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Kijana wa jana Hebu tuchambulie kejeli zilizo tajwa kwenye hiyo barua. Tuone kama ulichoandika ni Point au Pumba.
  11. tonny miles

    Picha niliyopiga na shemeji yangu ilisababisha mke wangu kunihisi namsaliti

    Ilikuwaje picha ikapigwa kwa kutumia simu yako? Elezea vizuri Jamuhuri ya watu wa JF ikuhukumu...
  12. tonny miles

    Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

    Pole sana mkuu Sodoku jikite katika maombi usimsahau mungu wako aliyekupa maisha mazuri kwani ndio huyu huyu anayekupitisha katika mtihani huu ili kukufundisha jambo ambalo naamini mpaka sasa hujalifaahamu.. Amini Mungu hakupi mtihani usio uweza. Utashinda ukimtegemea yeye. Pengine alitaka...
  13. tonny miles

    Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

    Kimange napafahamu.. ni sehem gani hasa? Pongwe au..
Back
Top Bottom