Wasambaa mshazoea kuoana ninyi kwa ninyi ili muongee kilugha muda wote, ni wabinafsi tbh. Mnyatunzu usingemuweza ww!! Usijali huyo dada atapata hata ngosha wa kumsitiri.
Wewe ni gold digger!!
Umasikini sio laana na utajiri sio baraka.
Unaweza ukawa tajiri na bado ukawa na laana ya Mungu na unaweza ukawa masikini na ukapewa baraka na Mungu and vice versa !!
Hakuna mwanadamu anapenda umasikini ila kuzaliwa ktk familia duni au yenye utajiri ni mipango tu ya Mungu. Mungu humpa na...
Mtu mwenyewe unakaa ghetto ndio uje kuweza kuishi na mke???!! Bora ulivyomtema huenda sasa hv kapata mtu sahihi kwake maana ungemtia mimba na kumuacha kama singo maza
Yes bondia mkubwa huwa anachukua mpunga mrefu apigwe au ashinde ni kutokana na kusaini mikataba kabla ya pambano....ila mcgregor alipata pesa ndefu tu 30M USD kabla ya pambano na 100MUSD baada ya pambano wakati floyd alipata 275M USD na pambano lao ni miongoni mwa mapambano yaliyoongoza kwa PPV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.