Recent content by Tonigawa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuhonga na mwisho wa siku haukuambulia chochote?

    Aliogopa vitisho vyako vya kitandani
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watu wa Mpwapwa baada ya George Lubeleje kustaafu siasa 2020, mtu sahihi kwenu kuwa mbunge ni Betty Baharia

    Vipi Riti haikusaidia!!! [emoji124][emoji124][emoji124]
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tusijifanya tumesahau na si vibaya sana kama sote tukajikumbusha juu ya haya ' Maajabu ' ambayo hadi leo hayajafutika Jangwani

    Weka link!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania UDSM mnakwama wapi?

    Poleni kwa majukumu wasomaji. Moja kwa moja niende hoja. Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mnakwama wapi hadi wanafunzi wenu wa Postgraduate wanashindwa kumaliza masomo yao kwa wakati! Mwanafunzi anakusanya Dissertation report yake tayari kwenda kwa External Examiner lakini kwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo sitaki michepuko haina faida

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    Anza na mimi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ama kweli sasa nimeamini wanaume wako tofauti kimaumbile

    Hahahahaha
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watu wa Mpwapwa baada ya George Lubeleje kustaafu siasa 2020, mtu sahihi kwenu kuwa mbunge ni Betty Baharia

    Sasa uende na LITI maana hiyo Riti sijui iko wapi!! Get there soon, maana wenzio wanaenda kwenye grass roots wewe unapoteza muda kwenda kunawa!! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  9. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watu wa Mpwapwa baada ya George Lubeleje kustaafu siasa 2020, mtu sahihi kwenu kuwa mbunge ni Betty Baharia

    Wewe siasa za Mpwapwa huzijui! Siasa za Mpwapwa unaleta Jf, you keep dreaming
  10. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Mkonze- Dodoma

    Hapana
  11. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Mkonze- Dodoma

    Eneo ni la makazi na kuna makazi tayari. Eneo linafikika wa barabara za mtaa- feeder roads. Na Jiji lipo kwenye hatua za kurasimisha makazi hayo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Mkonze- Dodoma

    Viwanja havijapimwa vinapatikana Mkonze Dodoma mjini kilomita 10 kutoka mjini na ni kilomita 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni mita za mraba 600, bei ni milioni 1.6. Mawasiliano 0758 004 568, karibuni nyote.
Back
Top Bottom