Recent content by Tondogoso

  1. T

    JamiiForums Tanzania William Lukuvi kumrithi Mizengo Pinda

    Anafaa kweli kweli. Naunga mkono
  2. T

    JamiiForums Tanzania TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    Punguza kuisha kwa mihemko na hisia. Umeambiwa chagua magufuli?
  3. T

    JamiiForums Tanzania TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    Wizara zingine walishaonyesha. Sio kampeni ni mafanikio ya serikali. Wizara ambayo hawajaonyesha andaa makala uwapelekee waonyeshe.UNAWASHWA
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nakasirika kijana chini ya miaka 45 kushabikia CCM

    Eti upenzi wa chama kwa umri!!! Kamshawishi Gwajima na Lissu. Hafuati upepo mtu hapa.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Wataendaje IPO wakati hisa zote zilishanunuliwa na Lowassa? Na sasa anawaburuza tu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Oktoba 25, Mbowe atang'olewa uenyekiti wa CHADEMA?

    Tutatamani kumng'oa lkn atang'ang'ania chama cha nyumbani kwao
  7. T

    JamiiForums Tanzania Lema akosa sera na kuanza kuwalilia wafanyabiashara ndogondogo!

    Jiongelee wewe. Mimi nimechoshwa na utapeli wa CHADEMA
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanashindwa kuwalipa Walimu lakini wanaweza kutumia fedha nyingi kuwalipa Wasanii?

    Hauna akili za kutosha. Walimu wa serikali wabalipwa kwa pesa ya serikali na serikali. Kama wasanii wanalipwa basi wanalipwa na pesa ya chama. Kama madai yako ndio utaratibu waambie Mbowe na Komu wawalipe waalimu badala ya kuitafuna ruzuku ya chama, ofisi za mikoani haifiki, CAG haikagui, hata...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Makapi yaivuruga CHADEMA Monduli

    Walikuwa bado wanashauri ili njia sahihi ifuatwe. Hawakutaka kukurupuka kama Mbowe na Lissu. CDM ilishapoteza mwelekeo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa vijana wanaoshabikia msemo wa HAPA KAZI TU!

    Hawawezi kukufikia wewe kikaragosi cha mbowe
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa vijana wanaoshabikia msemo wa HAPA KAZI TU!

    Mazingira ya sisi vijana kujiajiri yatawekwa na JPM kwa kuzuia madili ya akina Lowassa kujipa tenda zote Monduli
  12. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa angeendelea kuwa Waziri mkuu kwa miaka 10 tungekuwa kama Dubai

    Hata pesa ya msaada wa kuleta maji Monduli 45b aliipiga wanamonduli wakabaki kwenye shida
  13. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa angeendelea kuwa Waziri mkuu kwa miaka 10 tungekuwa kama Dubai

    Labda Dubai kitongoji cha kijijini kwetu. Vinginevyo malaria imekupanda kichwani
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Hata miongoni mwa wasomi wa maigizo wenye uwezo wa kiakili Arusha (sio tz nzima) hawezi kuingia hata kwenye 100 bora. Huyo mshindanishe kwenye wapiga dili kwa vyeo vyao serikalini humkamati.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    Wewe umeskia tu. Mimi najua na ninauhakika sio huo mpango. Msimwamini huyu aliyeskia niaminini mimi hakuna mpango wa kumchanganya mtu
Back
Top Bottom