Recent content by ton bn

  1. T

    JamiiForums Tanzania Arusha kukumbwa na PANYA Road

    Salaam wana,wasiwasi unazidi kutanda miongoni mwa wadada wa hapa baada ya wimbi kubwa la ulaji wa utumbo na miguu ya kuku kushika kasi hapa mjini,hasa kwa wanaume kama wale wenzetu wa ..........hofu hiyo inaeleza kuwa huenda wanaume wakawa rojo na kulazwa saa tisa kama wale wengine,endapo rat...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe kuaga rasmi Bungeni - Machi 20, 2015

    Ni kweli chama cha kibaguzi kilijaribu kumtumia kuvuruga chama cha kizalendo, ila baada ya kushindwa kimemtelekeza kwa kutokumkaribisha kwao.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nataka Bunduki, tena machine gun

    Mbona me namilki tanker(kifaru)na nimesajili
  4. T

    JamiiForums Tanzania NCCR - Mageuzi yawavua viongozi wake uongozi Mwanza

    matusi hayo kwa m kiti mwenza.
  5. T

    JamiiForums Tanzania CCM mnatumia rasilimali za Watanzania kwa shughuli za chama

    kweli kabisa na mbaya zaidi wanawatumia polisi kama chombo chao wakati ni chombo cha sirikali.toka juzi polisi hawalali kwa ajili ya kinana na nape
  6. T

    JamiiForums Tanzania CCM mnatumia rasilimali za Watanzania kwa shughuli za chama

    Wanajamvi, Jana katika pilika zangu hapa Arusha, nilikutana na msafara wa ndg. Kinana,kilichonistua ni idadi ya magari yanayomsindikiza. Tulibaki kuulizana kama katibu wa chama anayepambana usiku na mchana kukisafisha na kujaribu kuokoa kifo cha hawa majizi anatembea na msafara wa magari...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kubadilishwa kwa njia na vituo vya magari katika Jiji la Arusha

    ni kweli ndg me mwenywe mkaazi wa ar ninaexperience the same problem zamani nlizoea kushuka mpk kona pale golden rose sahiv natembea toka round about ya florida
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kubadilishwa kwa njia na vituo vya magari katika Jiji la Arusha

    maisha bora kwa kila mdanganyika
  9. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa sahihi kuhusu ulinzi wa Dk. Willibrod Slaa dhidi ya upotoshwaji unaoenezwa

    We ndo unatakiwa upite na ng"ombe wako:flypig:
  10. T

    JamiiForums Tanzania Lema: Arusha hakuna CCM

    Rama Ighondu na ......
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kucheza na akili zetu

    Mkuu sijakuelewa japo nahisi utakuwa unafaham kitu.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kucheza na akili zetu

    Mkuu usinichukie ni tahadhari tu natoa kwa wana Hanang make watasema tumetekeleza ilani,wakati tulitesseka miaka yote
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kucheza na akili zetu

    Sijawahi kula,na sitakula kama itatoka ccm.Ila awamu hii hatutadanganyika,
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kucheza na akili zetu

    Nakuelwa mkuu,huumpango ulikuwa wa mda mrefu na fedha zilikwepo,ila shinikizo likatoka mpango usubiri mpaka leo.Ndo maana nkaleta hoja,wengine wananishambulia kuwa nimeleta mambo ya kawaida,hapana.Nataka kuitahadharisha jamii yangu,tusirudie makosa ya 2010,kisa hadaa.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kusikia Mgombea Yeyote (Watawala au Wapinzani) Akitoa Ahadi Hii? Kwanini?

    Nchi inaongozwa na viongozi wasio na mitazamo:flypig:
Back
Top Bottom