Wanajamvi,
Jana katika pilika zangu hapa Arusha, nilikutana na msafara wa ndg. Kinana,kilichonistua ni idadi ya magari yanayomsindikiza.
Tulibaki kuulizana kama katibu wa chama anayepambana usiku na mchana kukisafisha na kujaribu kuokoa kifo cha hawa majizi anatembea na msafara wa magari 30,tofauti yake ni ipi na wenzake?
Anatuambia nini watanganyika tumwelewe?
CCM pumzikeni tumewachoka.