Recent content by tommie

  1. tommie

    JamiiForums Tanzania Propeller ads: Wale mnafanya kazi au tiyari mshapokea hela ya propeller ad

    Brother naomba tusaidie hiyo listi ya hayo ma-group hapa maana nimejaribu kuyatafuta sijayapata,tafadhali naomba msaada wako.
  2. tommie

    JamiiForums Tanzania Wadaiwa mikopo tuishitaki HESLB

    Mi nakuunga mkono mzee hawa jamaa ni hovyo kabisa,mwaka juzi waliniletea barua nadaiwa 7.4M na wakaanza kukata hiyo hela na ikawa imebaki 4M cha ajabu mwaka jana desemba wakaniletea barua nyingine kwamba nadaiwa 8.2M yaani sijawaelewa kabisa nimewaandikia barua nangoja nione mwezi huu wakikata...
  3. tommie

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuunganisha laini ya Vodacom ya kawaida kuwa ya chuo

    Ni Pawaga mzee na sio pagawa
  4. tommie

    JamiiForums Tanzania Ushauri wadau Youtube vs Blogging ipi inalipa kwa maingira ya Tanzania.. uzi maalumu wa internet enterprenuers

    Safi sana mzee FRESHMAN kwa hii idea,mi nataka kujua je lazima niwe na AdSense account ndo niweze kufungua na kuingiza hela kupitia youtube au wajuzi watupe step by step namna ya kuingiza mkwanja kwa njia ya YouTube.
  5. tommie

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum: My Adsense Journey to $100 per month

    Niko hapa nakusikilizia mzee.
  6. tommie

    JamiiForums Tanzania Usingizi baada ya chakula cha mchana husababishwa na nini???

    Vp mzee unaendeleaje?
  7. tommie

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

    Ingekuwa ni amri yangu ningesema ''waacheni wautimize unabii'' Tommiejay
  8. tommie

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

    Jamaa ameshasema tatizo ni verse,na nyuma ya hizo verse kuna roho inayohakikisha kila anaeambatana na hizo verse anatimiza kusudi la hizo hizo verse..
  9. tommie

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Al shabab auawa Somalia

    Mzee tafuta tafuta utagundua tu al-qaida wapo wapi,kwa dondoo tu ndo hao hao ISIS wamebadilika rangi kama kirusi vile..
  10. tommie

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ‘serikali’ ya Bodaboda

    Hili ni bomu lingine liko stand-by kulipuka, waliloliandaa ni hao wanaokalia ajira,kuna madereva wa boda boda wengine wana mpaka elimu za chuo kikuu lakini mtaani hakuna kazi,we unategemea nini..
  11. tommie

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka nikatafute maisha, nchi za kiarabu, maisha yakoje wa Non-Muslims?

    Wasalimie hapo Luana,Muhoro,Mbwila,mpaka Ludewa mjini Mkondachi,kanisa,Ibani na wote wa Mh. Deo..
  12. tommie

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka nikatafute maisha, nchi za kiarabu, maisha yakoje wa Non-Muslims?

    Ni kweli ndugu yangu,ukibadili dini mbona waarabu utawapenda,ila uking'ang'ania dini yako ya kikristo ndo utauona moto wa kina yakhe..
  13. tommie

    JamiiForums Tanzania ISIS wamchoma akiwa hai rubani mateka wa Jordan

    Hivi,mbona mnataka kutuona sisi ni watoto jamani.Kila kinachotokea kwa hao ISIS mnatetea mnadai kimetengenezwa na hollywood,vifo vya yule askari wa kimarekani aliyechinjwa (kassig) mlisema ni Hollywood kana kwamba hao ISIS hawawezi kufanya hicho kitu wakati kuna video kibao online zinazoonyesha...
Back
Top Bottom