Recent content by Tomahawk

  1. T

    USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

    Wachina wenyewe wanaota ndoto kuhusu marekani, kwa mwaka watu laki mbili kutoka china uenda marekani kusoma, ukiangalia miji ya kichina ni kama artificial vile
  2. T

    Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Wewe unazingua, esabu zinakukataaaa kwanza mkopo uliokopa ulifanyia nini? Take home 1.3 alafu unalalamika? Wasio na kazi kabisa nao wasemaje???? Acha starehee chagua priorities za msingi.
  3. T

    Maisha yamenipiga, naomba ushauri

    Maisha hayajawahi kuwa raisi, ondoka apo mjini tafuta kijiji au rudi kijijini kwenu, maisha ya kijijini hayana pressure, anza kufuga kuku, lima kwa kiasi uwezacho jitaidi kila mwaka unaongeza kilimo na ufugaji baaada ya muda mfupi utanirudia kwa mafanikio.....mjini matumizi makubwa, pesa ngumu...
  4. T

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Wakati tunapata uhuru tulikuwa 2 million now tuko more than 60 million izi roho zingine zimetoka wapi?
  5. T

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Mtoa mada Muongo, Balozi wa Tanzania mwaka 1994 hakuwa mwanamama, alikuwa mwanaume akitwa Salehe Boi Tambwe. Acha story za kutunga.
  6. T

    Wizi mkubwa wa kutumia akili

    Bora umenisaidia mwamba wabongo wavivu ata kufanya research ndogo ndogo Hizi, ata kugoogle mtu anashindwa daaaah
  7. T

    Wizi mkubwa wa kutumia akili

    Mwaka 1968, uko Tokyo Japan, mwizi alievalia mavazi ya kiaskari, alisimamisha gari la kubeba pesa, lililobeba pesa za bonus kwa ajili ya wafanyakazi wa kampuni ya Toshiba. Baada ya kusimamisha hiyo gari askari jambazi huyo aliwaambia wale waliokuwa wanasafirisha pesa, kuwa kuna taarifa amepewa...
  8. T

    Kitu cha ajabu wanawake walifanya miaka 100 iliyopita ambacho hivi sasa hawafanyi tena

    Miaka 100 iliyopita wanawake walikuwa wanakwenda hospitali kwa madaktari na kuruhusu madaktari kufanya manualy stimulation mpaka wanapata orgasm kwa ajili tu ya kuondoa hysteria. Na hiyo ndo sababu iliyopelekea kugundulika kwa vibrators za mwanzo kabisa kwakuwa baadhi ya madaktari walichoka...
  9. T

    SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    Nikivuta sigara jino langu lilitoboka linauma sana mpaka kichwa, nikivuta bangi haliumi na wala sisikii maumivu tena......bangi ni tiba bora ya wakati wake, kwanza inaleta amu ya kula
  10. T

    Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Kuna mwamba wankuitwa Bosco mitaa ya akina Ntimizi, ukitaka pass ya kusafiria ni ndani ya siku tatu tuu, ukitaka kwenda ulaya ni pesa yako tu,akatangaza kwenye daily news kuwa Kuna scholarship kusoma marekani foarm 20k, kakusanya izo 20k then akakimbia, nasikia alikuwa mganda jamaaa. Wapi Ras D...
  11. T

    Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

    Kama ndege ilienda Diego Garcia, na umesema Kuna wanajeshi takribani 4000 apo kisiwani, vipi hawajaiona iyo ndege? Kati ya ao wote hakuna ata mwanajeshi mmoja ambaye ataweza toa Siri juu ya uwepo wa iyo ndege apo kisiwani?
  12. T

    Hivi umiliki wa Tigo unaanzia enzi za Mobitel na Buzz au ni pale ilipoanza jina la Tigo?

    Wakati wa enzi za mkurugenzi John Tumelty....mobitel ulikuwa mtandao bomba sana kabla hata ya kubadilisha majina
  13. T

    Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Acha ujuaji, M23 ndiyo iyo ya Sultan Makenga ila ndani ya Congo kuna waaasi wengi mno wakiwemo ata ao Adf na wengineo sasa kuna wakati haujui unapigana na M23, au maimai au Naru au wengineo sasa unaweza jikuta unaisi unapigana na M23 kumbe unapigana na Maimai....na apa kwenye aya mapigano ya M23...
Back
Top Bottom