Si
Simple logic. Nini kinapaswa kuanza? Reforms au uchaguzi? Kama tunakubaliana kuna haja ya kufanya reforms ili kuwa na uchaguzi wa haki, wazi na huru kwa nini uende kwenye uchaguzi bila hizo reforms? Tunataka kupata nini mwishoni?
Siyo kweli. Tunaofuatilia kinachoendelea tumeelewa madhumuni ya No Reforms No Elections. Kwamba yafanyike mabadiliko kwenye mfumo wa sheria na taratibu za uchaguzi ili kuwa na mazingira sawa ya ushindani kwa vyama vyote ili tuweze kuwa na uchaguzi huru na wa haki kuepuka kilivhotokea 2019, 2020...
Maneno ya busara sana hakika. Swali ni muafaka upi ambao umeweza kufikiwa kati ya CCM na CHADEMA ambao sasa unasema CHADEMA wamejitoa? Au unazungumzia mchakato wa maridhiano ambao CHADEMA wandai wamejitoa baada ya kuona hakunar dhamira ya kweli kwa upande wa CCM?
ANGALIZO: Mimi siyo mwanachama...
Kwa hapa tulipofikia hoja hii inapaswa kufanyiwa kazi. Malalamiko dhidi ya chaguzi zetu yanakera kwa kila anayeipenda nchi hii na kuitakia mema. Ninaandika kama Mwananchi ninayeipenda nchi yangu japo si mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Maisha ya amani na haki yawe ni msingi mkuu kwa...
Inategemea ulizaliwa mwaka gani. Ni kweli kipato rasmi kwa maana ya mishahara ilikuwa midogo lakini ni kipindi hichohicho watu walikuwa wanadunda mabulungutu ya pesa kwenye soksi! Na ni kipindi hicho serikali ilikuwa ikitekeleza shria mahsusi ya uhujumu uchumi.
Q
Dr. Alex Khalid Ntavala (RIP) alikuwa Mbunge wa Jimbo la Newala (Mitema), baadae Newala Vijijini. Pia alikuwa Mfanyabiashara na Mtaalamu wa Kilimo/Mifugo na Mmiliki wa Ukumbi maarufu wa Makondeko Only maeneo ya Mbezi Mwisho (Morogoro Road) ambako alimualika Mwanamuzi Nguli wa Afrika Kusini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.