Shikamooni wakubwa zangu,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu "soko la dagaa la tabora likoje"?... kwanza kabisa Mimi ni mkazi kutoka mwanza na pia nilisikia kutoka kwa marafiki wa Karibu kuwa dagaa inalipa kwa tabora. Nikaona ni vema basi nilete mada hii jamvini ile hali kma kuna...
Brother ako anazingua, piga chini..ivi kwel mwanamke anakuletea mafyongo fyongo, mi ungekuta nimesha mchapa vitasa na navuta chombo ingine,..achane nae tu amna jinsi alaf asake pesa sio kumwazia aliyeshindikana kuanzia kwenye bustani ya Eden.
Thanks so much mr, in one way l understand of what should be done, but l assist you mr if possible you having many details and information about what is going on in the world... please let share together here jamii forum with other members...god bless you and thanks for your attention mr[emoji1319]
Niseme tu katika miongoni mwa thread nzuri hapa jamii this one also is the best one![emoji1319]...mkuu umenipa akili hata mimi kwasababu mi pia ni miongoni mwa wanachuo hapa mwanza chuo cha mipango. Nahisi imefika kwa walengwa mahususi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.