Recent content by Togolo

  1. T

    Walimu wanahitajika Katavi.

    Walimu wa masomo yafuatayo wanahitajika kufundisha shule ya sekondari Uruwira. a) Geography na Mathematics b) History na English Shule ni ya Serikari, ipo mkoani Katavi. Mawasiliano: 0754576401
  2. T

    FUNDI WA ENGINE ANAHUTAJIKA

    Natafuta fundi mashine mwenye uwezo wa kubadili dizel engene HP 20 kuweza kutumia LPG Gas. Lengo ni kupunguza gharama ya uendeshaji wa mashine
  3. T

    Nawezaje kupata pesa za mkopo ili niendeleze uwekezaji wangu?

    Umeanza biashara bila kua na plan nzuri. Ungefanya vitu vifuatavyo ungeupiga mwingi sana 1. Ungeanza na machine za kawaida kwanza, ambazo biashara yako itakua inakua taratibu 2. Sajili biashara yako kwenye mamlaka husika, ikiwemo Brela, TRA, Tafuta Leseni ya biashara, fungua akaunti ya benki...
  4. T

    Biashara ni kama kung-fu, sio kila mtu anaweza kufanya

    Sasa Kuna changamoto Gani hapo, mbona kawaida tu, We endelea kukaza
  5. T

    Walimu wanahitajika haraka sana

    Shule ya sekondari Uruwira iliyopo Mpanda Katavi inatafuta walimu wa masomo yafuatayo PHYSICS & MATHEMATICS GEOGRAPHY & ENGLISH GEOGRAPHY & KISWAHILI NB Ni shule ya serikari, Free Accomodation & breakfast Kwa mawasiliano Piga simu 0754576401
  6. T

    Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

    Niliwahi kutoa tangazo siku za nyuma kidogo, Tunahitaji Mwalimu wa Math na physics. Shule ipo mkoani Katavi Piga. 0754576401
  7. T

    Mwalimu wa Math na Physics anahitajika

    Bado hajapatikana, Kama una mtu unayemfahamu aliyesomea haya masomo, Mwambie anipigie. NB Hakuna Interview
  8. T

    Mwalimu wa Math na Physics anahitajika

    Nsimbo sio wilaya ni halmashauli,
  9. T

    Mwalimu wa Math na Physics anahitajika

    Ipo njiani kama unaelekea Inyonga ukiwa unatoka Nsimbo sec
  10. T

    Mwalimu wa Math na Physics anahitajika

    Hiyo ni kama posho sio mshahara kwa sababu anaajiriwa na Shule husika( volunteer)
  11. T

    Mwalimu wa Math na Physics anahitajika

    Kama kuna mtu amesomea masomo tajwa hapo juu (physics na mathematics), anahitajika kufundisha Shule ya Sekondari Uruwira. Shule ni ya Serikali ipo Wilayani Mpanda Mkoani Katavi Nb posho 150000 Accommodation, na breakfast ni free Piga 0754576401/ 0658576401
Back
Top Bottom