Recent content by tofyo

  1. tofyo

    JamiiForums Tanzania Maskini! Lissu na Magufuli waligombanishwa na kujikuta wakiwa kwenye vita kubwa. Wakati wangetakiwa wawe Kitu Kimoja. Nafikiri nchi ingekuwa imeula!

    Siasa ni ujinga ndani ya wajinga wengi. Mtu unaweza ukamuona msomi lakini mjinga.nataka kusema nini. Ukizungumzia kutekwa kutesa, kuiba kura, kukandamiza upinzani unaongelea mambo sociology. Ukiongelea kupambana ufisadi, kujenga miradi ya kimkakati,kuinua uchumi wa nchi, kudhibiti rasilimali...
  2. tofyo

    JamiiForums Tanzania Maggid Mjengwa: Kujiuzulu Ubalozi Humphrey Polepole na sababu alizozitoa, moja kwa moja kunaathiri taswira ya Rais Samia na nchi kimataifa

    Huyo wa mwaka 62 alikuwa ni kasanga Tumbo, sio Kambona
  3. tofyo

    JamiiForums Tanzania Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

    MAGUFULI ALIZUIA HIZI SIASA UKAMUONA MJINGA
  4. tofyo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa John Heche Wilayani Mbarali, Mbeya

    Kumbe wajinga katika hii nchi bado wapo kiasi hichi
  5. tofyo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapata wapi ujasiri wa kusafiri ilhali kuna majanga nchini?

    Per diem
  6. tofyo

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Kikwete mbona hana raha Kama mwanzo?

    Ningependa nizungumzie kilichopo Yanga muda huyu na kinachoendelea kwa mtazamo wangu. Minyukano ya siasa imeingia mpaka kwenye soka letu, ujue GSM na kundi la msg walianza kudhamini yanga 2021 kama political Lobbying Kwa siku za mbeleni, lakini baada game changer kwenye DP World Makonda...
  7. tofyo

    JamiiForums Tanzania Serikali ndiyo imeshtuka, ukosefu wa dola umesababishwa na Serikali yenyewe kwa kuwabeba wachina miradi mingi

    Dedollarisatio policy ndio ilioondoa dolla sio issue ya wachina.
  8. tofyo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Hakuna hata mmoja
  9. tofyo

    JamiiForums Tanzania Uharifu mkubwa kuwahi kufanyika Tanzania wahusika imeshindikana kuwakamata

    Opp Sangara
  10. tofyo

    JamiiForums Tanzania Nchi hii haitafanikiwa kwenye jambo lolote la maana mpaka mwisho wa Dunia

    Utamsikia kijana wa Bar vichaa anakwambia tatizo ni katiba
  11. tofyo

    JamiiForums Tanzania Russia itaanza Airpatrool milima ya golani na mpaka mwa Syria na Israel

    Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Urusi yupo New York mda huu 😂 kwenye kikao maalum Cha UNSC. Ngoja atoke huko mziki uanze.
  12. tofyo

    JamiiForums Tanzania Hauwezi ukablock red sea kazi zisifanyike kisa tu dunia iogope ugaidi na itikadi zako

    Taliban hadi leo wapo tena na afya tele, mngemaliza Taliban kwanza.
Back
Top Bottom