Hii ndo Shida ya ngozi nyeusi.kupata mawazo yako haimanishi ndo na chukua hayo hayo Bali nachuja na kuunganisha point kadhaa kisha na kupata wazo moja.
Basi kwa Kuwa ww umeteseka kusoma basi unataka wote tupitie njia hyo hyo.
Ngoja waje Wenzio wanipe nondo Baki na roho mbaya yako
Wanaforum tafadhali mwenye ujuzi na hii sheria anisaidie hili swali hapa chini.please.
John and Steve formed a private company in the early January 2013. Unfortunately ‘John' was involved in a serious car accident and sustained serious injuries in the head. As a result of such injuries he...
Ndg yangu Huna kumbukumbu.mm nakumbuka mfano 2010 ni mgombea pekee wa ubunge aliyeweza kuacha kujipigia Kampeni na Kwenda kusaiidia wengine mfano musoma kwa Nyerere na sumbawanga.
Kaka Fanya kwanza utafiti
So what!! Kushindwa kuwandle wasomi ni dalili mbaya kwa CDM.moja ya changamoto kubwa tuliyonayo Africa ni kutokuthamin nafas ya utaalamu kwenye maamz matokeo Yake wamewekwa pembeni. Nikidhani CDM imeliona hili na kuamua kuwatumia wasomi Kama akina kitila lkn kumbe na chenyewe kiko na mlengo ule...
Mchawi wa CDM ni mbowe, mark my words.muda si mrefu mambo yote yatajulikana.zzk katolewa kafara tu ili mambo yaende kwa mbowe.uchaguz ndan ya chama ndo issue kubwa
Hii ni Shida yako ww, hapa hakuna cha Ukawa.Jenga Hoja yako juu alichonukuu kwenye katiba ya sasa na rasim ya katiba.acha kushambulia watu.
Kila mtu alete mawazo Yake tupAte katiba bora kabisa kma Jana alivosema sen wako Kuwa Kenya wanakatiba bora kabisa
Contradicting statement by slaa. mm labda niseme kwamba CDM imeniangusha maana inaonekana slaa kwa mbowe Hana saut maana kwa ninavo mjua maamzi ya kishenzi yanayofanyika asingekuwa anayafanya.
Huo ni mtazamo wao jaman,na ww una mtazamo wako.mwisho wa siku ni makubaliano tu na hAtimaye wote tuwatanzania.kwa hyo msipende kusakama watu wakati huu ni muda wa Mjadara.lets us discus
Mzee Mkinga kwa kweli amejaliwa, amesuuza roho yangu juu ya mtazamo wake kwenye masuala haya ya katiba.John mnyika ni kijana mahiri sana lakini wakati mwingine nguvu ya chama inamuendesha na hatimaye wakati mwingine anapotoka.
Bravo Mkinga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.