Recent content by toby39

  1. toby39

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapana mkuu wameweka dau kuanzia mechi 9 kuna dau lake Mechi 10 kuna dau lake mechi 11 kuna dau lake pia mech 12 kuna dau lake Ila inapotokea kwenye Kila dau kuna watu kadhaa mnapigwa gawio kutokana na pesa iliyopo kwenye dau la mechi hizo
  2. toby39

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jamani mbona Mimi Kila ninapocheza perfect 12 M-bet sipati gawio iwapo mara ya Kwanza nilipata mechi 9 ticket inaonesha Lost Mara ya pili nikapata mechi 10 vile vile ticket Lost Wana Nini na Mimi Hawa Mbet???
  3. toby39

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu Makonda amedharau au kulikashifu bunge hizi ni chuki lakini watashindwa

    haya madawa kweli watu acha tuu watajwe... lkn wengi ni wao kwa wao vigogo ukiona kuna fukara katajwa ujue ni kibaraka tuu
  4. toby39

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Thanks sana wadau kwa kutuelimisha
  5. toby39

    JamiiForums Tanzania Naulizia Nafasi za kujiunga na jeshi

    sawa ahsante
  6. toby39

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Soko lipo, ingawa ni vigumu kumbadilisha mtu wa mwanza kula kibua wakati alishazoea kula sangara nadhani itakuchukua muda kupata wateja cha kukushauri tengeneza posters ambazo zitakurahisishia wewe kupata wateja kiwepesi yaani ukitangaza kwa beni nafuu Zaidi ya zile walizozizoea huko dar.
  7. toby39

    JamiiForums Tanzania Naulizia Nafasi za kujiunga na jeshi

    kwa anayefahamu usajili wa jwtz mwaka huu ni mwezi wa ngp?
Back
Top Bottom