Recent content by toby ziegler

  1. T

    Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    sasa mtaendelea kutishana mpaka lini???
  2. T

    Membe kuwania urais 2015...

    Tuko pamoja kama mengi na rostam wamekumbatiana leo....
  3. T

    Team Membe ni akina nani?

    Leo ndio numejua Of all people nilidhani Mwanakiji ni independent minded lakini nimetonywa kuwa ana "tow the line" anafuata instructions toka kwa "JAMAA YETU"
  4. T

    Team Membe ni akina nani?

    Naamini Membe kashajipanga vilivyo Sasa bora tujakua team yake kuanzia kwenye media, online media, serikalini, sekta binafsi, ndani ya chama, nje ya nchi etc Hiii ni muhim tukajua ili akipata urais tusijeanza lalamika ohhh sijui nani katokea wapi au akianza kulipa fadhila tukaanza kulalamika...
  5. T

    Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    DUH Nawewe MEMBE kashakununua au ndio instructions toka kwa jamaa yetu?
  6. T

    Lowasa taabani kwenye Media. TBC1 na Star TV wakataa kurusha habari yake

    Hahitaji TBC1 ana WHATSAPP na watu wanarushiana tuu video na VOICE note in otherwords LOWASSA anawafikia watu wengi zaidi DUNIA nzima
  7. T

    Formula yangu ya maendeleo Tanzania hii hapa

    Hii inaingia akilini tatizo watu wanataka serikali kuu iwafanyie kila kitu tazama formula ya majimbo USA na nchi zingine. lazima mchangamke na naamini serikali inaruhusu haya
  8. T

    Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015

    hii nayo kazi kubwa. Hivi JF kuna mtu ambaye hamjui habari zake?
  9. T

    Ronald Baraka Shelukindo: Nitalichukua jimbo la Bumbuli 2015

    Ukisikia kuzibiana ndio huku Kama baraka anajiona uwezo anao wa kuendeleza bumbuli kwa nini asichukue forms? Nyinyi kila kitu mnataka ku monopolize hii haiwezekani enzi hizo zishapitwa na wakati
  10. T

    Mzee Mwanakijiji vs Waziri Abadallah Kigoda.

    Michael rudi mkuuuu
  11. T

    Waziri Kigoda anakula pesa za ukaguzi wa magari TBS

    Siku hizi sishangai kitu mimi
  12. T

    Wizi wa Escrow: Albert Marwa ni nani?

    Huyo wa kwanza kushoto ni KIWADINYO hapo wamepiga picha na RAIS WA CHINA XI JINPIN na MKEWE PENG LIYUAN
Back
Top Bottom