Recent content by Tobii

  1. Tobii

    Mwanaume kuwa na wake wengi: Sababu, faida na changamoto/hasara

    Umewai ona wapi serikali haina chama pinzani? La sivyo itajisahau sana. ....
  2. Tobii

    Orodha ya watu maarufu zaidi duniani toka dunia kuumbwa

    Adam na Hawa wanazidiwa na Ibrahim?
  3. Tobii

    Je, Mvua ikinyesha, yupi hunyeshewa zaidi, anayekimbia au kutembea?

    Huyo anaetembea pengine ana mwamvuli
  4. Tobii

    Adam na Eva wa Tukuyu mbeya

    Adam na Hawa walikula Apple tu ,vyuma vimekaza hivi, wangekula pilipili sijui ingekuwaje
  5. Tobii

    Tusaidiane tafadhalini hawa Paka wa Dar es Salaam ni Wanyama au Binadamu wenzetu tu?

    N Njoo tu mkuu.... Pengine uwa wanataka umwagizie na bia.
  6. Tobii

    Tusaidiane tafadhalini hawa Paka wa Dar es Salaam ni Wanyama au Binadamu wenzetu tu?

    Halafu wana dharau sana paka wa dar....hasa Wale wanao shinda bar ,ukimrushia nyama hali, anakuangalia tu kwa dharau sijui anataka mkae nae mezani?
  7. Tobii

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Nina swali, Mwanandoa mmoja akipeleka shauri mahakamani la kutaka talaka na court wakamwita mwenzake na asihudhurie mahakamani zaidi ya mara tatu, Mahakama uchukua hatua gani?
  8. Tobii

    Kitu gani cha ushujaa umewahi fanya katika maisha yako??

    Kumtorosha girlfriend toka kwenye defender ya polisi ilipopaki nje ya central moja hapa Tz. Now ni ex wangu tu
  9. Tobii

    Swali makini kwa Great Thinkers kutoka kwa handsome Bujibuji

    So dini ya kiislam inasema Binadamu aliumbwa vipi na kwa mfano wa nani kupitia Allah?
  10. Tobii

    Mwenye kujua mbinu za kusevu pesa aniambukize jamani,

    Kweli kabisa.... Pia achana na simu banking nikimaanisha usiwe access ya haraka ya kutoa pesa.Mimi ATM kadi yangu ili expire, sija renew ,pesa ikiingia huko mpaka niitoe nipange mstari so uwa naiachaga tu nategemea mishe zingine
  11. Tobii

    Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

    Sitaki hata kumwona..Just imagine maneno yalipozidi nilichukua vyeti vyangu tu nikaondoka nikaacha kila kitu. Nimeanza upya
  12. Tobii

    Kwanini mwanaume ukikosa kazi mwanamke anakusimanga sana?

    Kabisa dada.... Yalinikuta hayo siji sahau,nikasimama tena nikapata kazi nzuri, Thanks God nadhani by ijumaa talaka itakua tayari court.
  13. Tobii

    Burundi: Wananchi wampa Nkurunziza 'go ahead' ya kukaa madarakani hadi 2034 katika kura ya maoni

    Ndio hivyo mkuu....Demokrasia ilikua ni fasheni tu na ndio inapita. Dunia imezoea kutawaliwa kwa mfumo usio wa kidemokrasi toka enzi
  14. Tobii

    Burundi: Wananchi wampa Nkurunziza 'go ahead' ya kukaa madarakani hadi 2034 katika kura ya maoni

    Yapo kote mkuu....Angalia China pia. Then kuna tofauti gani na Ujerumani, Uingereza
Back
Top Bottom