Recent content by tobiansez

  1. tobiansez

    JamiiForums Tanzania Fursa: kama unafanya ishu hizi, unahitajika kwa hali na mali

    5. Music, Video and Photographer - Wapiga picha, videos etc - Editors - Wataalamu wa vitu kama photoshop, illustrators na kadhalika - Dj's na MC's. 0654541373
  2. tobiansez

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watu wa Usafi Arusha wadada wawili na mwaanume mmoja

    Details zip
  3. tobiansez

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaidizi wa kazi za ndani.

    we ingia tu inbox atajua ye
  4. tobiansez

    JamiiForums Tanzania Nahitaji watu wa Usafi Arusha wadada wawili na mwaanume mmoja

    mi. Niko tiar ni cheki 0654541373
  5. tobiansez

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kushilikiana nae kuendesha app ttupige pesa

    Oii mi nina muda kama wote. Coz sina kaz now emu tuongee bana. 0654541373
  6. tobiansez

    JamiiForums Tanzania DAR: Uzi huu maalumu kwa watu wenye kuhitaji kufanya kazi za day worker kwa usiku tu

    Wakati naanza kusoma nikajua we ndo unatoa Ajir za day worker hahahahahahh kumbe na we unatafuta afu muda huo una kazi nyingne tena daaahh
  7. tobiansez

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika walimu wa Tehama ICT

    Asee ni shule za msingi zipi sasa emu fafanua vizur
  8. tobiansez

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika vijana wa kazi ,kansasy city(Marekani)

    Ngoja tukomae tuone
  9. tobiansez

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Umeongea point lkn CEO awe mtanzania sema sasa iv teknolojia inabadilika sana ivo hao TBC ina wazee ambao hawawez kwendana na kasi ya teknolojia ivo wa ajiri vijana bana ambao wanaenda na wakati na kasi ya teknolojia
  10. tobiansez

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Mi Mimi nawaomba jaman ndugu zangu uongozi wa TBC1 muboreshe ubora au quality za picha na video zenu sio mp4 yaan zinakuwa hazina ubora kbsa emu mjitahidi jaman nawakubari sana
  11. tobiansez

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote

    Kuna job gani? Kwani m kuja sishindwi ila tu kazi iwe ya uhakika.
  12. tobiansez

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote

    Ndio certificate ni ngazi ya kwanza katka elimu yoyote sio ualinu tu wa shule ya msing ila ndio nina certificate ya msing
  13. tobiansez

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi yoyote

    Naitwa Thobias Leonard nina umri wa miaka 23, mi nimzima wa afya kabisa. Elimu yangu nina cheti cha Ualimu grade A. Naishi kilimanjaro anaetaka kunipa kazi mi nafanya kazi zote bila kubagua anipate katika Namba hizi 0654541373. 0744620658
Back
Top Bottom