Recent content by tmbsa

  1. T

    Rais Kabila: Mizigo yote ya DRC itapitia Bandari ya Dar. Tulisitisha sababu ya urasimu na upotevu

    Ama kwel ss subsaharan tutabaki hiv hv.. watu wanachukia had hatua za kuiinua inchi kiuchumi ambapo sote tutanufaika eti kisa tu wanamitizamo tofauti ya kisiasa?? Tanzania ni yetu sote
  2. T

    Biomedical engineering tupeane michongo

    Kwa sabab usimamiz na ukaguz wa medical devices upo chin ya pharmasist..binafs sidhan kama they r right xparts
  3. T

    Biomedical engineering tupeane michongo

    Subir TFDA wakitangaza ajira may be mtapata, hiyo kama sikosei ni coz mpya hapa Tz kaz zenu nyingi zinasimamiwa na pharmasist kisheria nadhan labda sheria zikirekebishwa na kuwepo kwa clear job description mnaweza pewa hilo jukumu..just thinking
  4. T

    Madaktari kufanya Operesheni ya kumkata mtu kichwa na kumuwekea mwili mwingine

    Huez ish miaka yoote ndugu cancer zitakutafuna na utakufa tu baaday..so kitaalam sio suluhisho la kuish miaka miingi zaid
  5. T

    Madaktari kufanya Operesheni ya kumkata mtu kichwa na kumuwekea mwili mwingine

    Kufa kisayansi kupo kwa kuu mbil..brain dead(ambapo ubongo unakuwa umekufa bali cells zingine ziko hai) au cell death(ambapo brain ni nzma lkn mwil mwingine yaan cell zisha kufa) kama ushaskia mtu anaish kw mashine huwa brain yke ishakufa ila mwil upo hai
  6. T

    Rais Magufuli amteua Bw. Dotto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango

    Hata kama kamteua yy sasa akizngua aachwe kisa kateuliwa awamu hii?
  7. T

    Rais Magufuli amteua Bw. Dotto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango

    Kwa hiyo akteuliwa mtu af utendaj mbovu aachwe tu kisa kateuliwa??
  8. T

    Kuahirishwa kwa UKUTA: CHADEMA na mbinu ya kibogoyo,Rais ni msikivu. Atawasikiliza

    Acha ushamba ww kupima DNA tunaweza toka longtime tu hapa bongo..halafu DNA inahusiana nn na ulicho andika..nenda shule ijue DNA vizur ndo urudi kunya humu
  9. T

    Kamanda Sirro: Kuna watu wanapewa pesa ili waandamane kwenye UKUTA

    Nashangaa watu wamwatack siro kwa kutoa taarifa hiyo nyny mnaobisha mnarefer kitu gan au mipasho tu..yy kasema kwa taarifa za kiintelligensia nyny mnabusha tu..ukwel utabaki kama ulivyo hata kama unauma mara mnaiattack clouds huku hata ITV wamerusha the same news..mind zenu zipo si biased ndo...
  10. T

    ITV na Wosia wa Baba wa Taifa

    Dah kwel ww kilaza
  11. T

    Natural Attractions in Kenya and Tanzania

    Af hiv kwann wakenya mmeikalia tz kooni? why not any other country in EA??.. it seems kunakitu mnakiogopa saana sio bure na "aliwazalo mjinga ndilo humtokea"..
  12. T

    Natural Attractions in Kenya and Tanzania

    Hakuna kisichowezekana...one day things will be different..najua wajua rate ya economic growth ya Tz...so expect something to happen soon we are running...
  13. T

    Ndalichako; Utafikisha salama gari la elimu kweli?

    Udom wale waalimu waliorudishwa nyumban, wenye sifa wamerudishws
  14. T

    Ndalichako; Utafikisha salama gari la elimu kweli?

    Wazir yupo sahihi tunalaum tu..tunajua kabisa watanzania wengi tunaangalia oppoturnity iliyoko mbele na tunaenda nayo..mfano tunaupunguf mkubwa kwa watu wanaohitajika kuwa wamesoma sayansi mfano watumish wa afya ni wachache saana..mm naamin itasaidia kwa suala kama hilo na tunapo tegemea tz ya...
  15. T

    Magufuli unasumbua watumishi wa umma. Watakosa motisha.

    Tuache unafiki jaman tusipinge kila kinachofanywa na serikali..hivi kwa dunia hii hatuoni ni aibu kama serikali kutokuwa na data za uhakika za watumishi wake?? Hapo serikali kudai na kuhakiki wafanyakazi na vyeti vyao kunatatizo gani? Sote tunajua jinsi watu walivyo fanya magumash na wapo had...
Back
Top Bottom