Recent content by Tman Clever

  1. Tman Clever

    PreGE2025 CHADEMA: Huku Freeman Mbowe kule Tundu Lissu strength & weaknesses

    Kwenye Uchaguzi huu wa CHADEMA Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kuhusu Hawa wagombea wa uenyekiti. Freeman Mbowe STRENGTH 1. Hekima zake,mikakati,kujitoa kwake hata kiuchumi bado zinahitajika kwa CHADEMA na siasa za nchi hii 2. Uhakika wa kuto kununulika kwake kunafanya awe muhimu kuendelea...
  2. Tman Clever

    Afya: Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu wapendwa. Mimi EN, njoo Arusha/Arumeru nije Kyela Mbeya. DM me
  3. Tman Clever

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Waalimu salamu ziwe nanyi. Nina Mdogo wangu ni Mwalimu sekondali Amepangiwa Songea, anahitaji kurudi Arusha. Tuna uhitaji saaana wa kurudi Arusha, kwani ndiko alikowekeza biashara zake kabla hajapata ajira. Nicheki inbox tuzungumze mambo mazuri kuhusu kubadilishana Kituo.
  4. Tman Clever

    Asili ya mwanaume halisi kisayansi (erected penile and it's size)

    Sio tu harufu, Mjomba kusimama ni tendo linalotegemea vichocheo /hormones. Na vitu vingi kama ilivyoelezwa kwa ufupi kwenye uzi hapo
  5. Tman Clever

    Asili ya mwanaume halisi kisayansi (erected penile and it's size)

    Sure, ila wazungu kudondoka mapema inategemeana na mazingira. Mfano i. Hujapata huduma muda mrefu, lazima siku ukipata wazungu watatoka mapema. Ndio mana Mara nyingi wanaume walioko kwenye mahusiano/ndoa uonekana wanachelewa kutoa, sababu wanapata Mara kwa Mara.
  6. Tman Clever

    Asili ya mwanaume halisi kisayansi (erected penile and it's size)

    Salamu ziwe nanyi wakuu. Tuzungumzie mambo machache mawili Leo kiufupi sana. a) Nguvu za kiume na B) Mjomba kusimama. Na urefu wake (Perfect penile erection) A) NGUVU ZA KIUME Ni uwezo wa kusababisha uzazi. Unajipimaje? i. Wazungu/manii wawe wanatoka. WENYE AFYA INAYOTAKIWA na ii. Wawe na uwezo...
  7. Tman Clever

    Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

    Tar 5/08/2021 KESI IMEHAIRISHWA HADI OCTOBER, HAKIMU ANADHARURA, Tz nchi yangu, duhhhh 😭
  8. Tman Clever

    Waziri Mwigulu na wachumi wenzako mnalihujumu taifa, rudini mezani

    Wakuu tujaribu kutazama maoni ya wadau mbalimbali juu ya Gharama Mpya za miamala iliyiwekwa na serikali yetu tukufu chini ya madam president na waziri wa uchumi kijana kijana flani,
  9. Tman Clever

    COVID19: Dunia nzima inapotoshwa? Siasa kwenye Afya?

    Hii ilikuwa ni akili ya ajabu Tena kutoka kwa mkemia/scientist, sijawahi tegemea kabisa. #Kipimo kinahitaji sampuli gani na kiasi gani? Inaendana na ya papai au chenza? Mwenda zake alikwenda na zake mbovu
  10. Tman Clever

    SHINDANO: Andika ukiwa umefumba macho

    Mwenda zake: M23bfa xajr
  11. Tman Clever

    COVID19: Dunia nzima inapotoshwa? Siasa kwenye Afya?

    Sawa Sawa mkuu, jibu zuri Sana Sana, # ILA Huyu virus anapatikanaje nje ya host? Ndio miongoni mwa maswali yangu. Kama umeuelewa uzi.
  12. Tman Clever

    COVID19: Dunia nzima inapotoshwa? Siasa kwenye Afya?

    Watu wenye akili ujibu hoja Baada ya hoja Kisha kuelimisha mtu alipopotoka. Hoja hujaigusa hata moja, hiyo ndio akili yako kubwa??
Back
Top Bottom