Natamani 2020 ifike sasa hivi tupate serikali mpya ya UKAWA
Rais: Mh. Edward Lowassa.
Makamu wa rais: Mh. Seif Sherrif Hamad
Waziri mkuu: Mh: Aikel Mbowe.
Waziri wa feza:Mh Lema.
Waziri wa sheria: Mh: Tundu Lissu.
Waziri wa habari: Mh Gwajima.
Waziri wa mambo ya nje: Mh. Wema
Makamu wa...
Wanaomuamini Gwajima akili zao hazina akili. Gwajima si ndie alitangaza ana uwezo wa kufufua watu ambao mpaka leo bado wamekufa.
Mtu anaefufua watu atashindwa kutengeneza stori ya cheti. Na atoe hivyo vyeti aone kama itachukua zaidi ya dakika sifuri kabla hajajikuta ndani ya Segerea.
Hate him, love him the dude is gifted!
Anaweza kuzungumzia ishu kwa sentensi moja. Katika mengi aliyosema ametaja mafanikio yake kwenye miradi mingi na mipango ya mwaka wake wa pili.
Ametoa ripoti ya mafanikio ya vita vya madawa. Kataja usalama wa jiji hasa kuondoa panya road.
Kaeleza hawana...
Hili zee mnalishukuru la nini. Lina chuki za binafsi kwa Trump. Bifu yao iko kwenye ungo. Hizi liki za kumchimba Trump na kupeleka umbea linahusika mara nyingi. Nuksi kweli hili jamaa uzalendo limeweka nyuma.
Lina usongo wa kukosa uraisi. Halikutoa ushirikiano kwa Obama sasa liko mstari wa...
Kaka unaijua IRS au kwa jina jingine uncle Sam. Kafungwa jela Wesley Snipes kwa kukwepa kulipa kodi unafikiri Trump angekuwa kavunja sheria ya Tax na wanavyomchukiwa asingekuwa jela saa hizi?
Jiulize ni akili gani kuchukua wakimbizi kutoka katika nchi unayopigana nayo vita. Unaamini wote wanakuja kwa nia njema. Mijitu inapuuza usalama wa taifa kwa kumkomoa Trump.
Hilo alishalisema wakati wa kampeni kuwa hajalipa tax. Alitumia sheria za bankruptcy. Alipata hasara ya dola milioni mia sita. Mfumo wa tax wa Marekani ni wa kukandamiza walala hoi.
Katika hotuba yake ya juzi na waandishi wa habari nimepata vitu ishirini ambavyo hutavisika kwenye vyombo vya habari.
1. Amezungumzia hili jambo zima la yeye kuhusishwa na urusi ni njama zinazofanywa na wapinzani kumtoa madarakani. Hasa watu wa Hillary Clinton.
2. Akasema vyombo vya habari vya...
Sheria za kumfunga Lissu zipo wazi hata kwa asie mwanasheria. Kwani Ponda alifungwa kwa sheria gani? Anayoyasema Lissu ni zaidi ya Ponda.
Kuna mavilinga stori katika hili jambo la Lissu.
Vita hii ushindi wake haupimwi kwa punda waliokamatwa. Vita hii ushindi wake ni kitimtim na kimuyemuye wanachopata wauza unga. Hao mapapa kwa kipindi hiki hawatapitisha mzigo.
Mimi binasfi sikufurahishwa na kukatwa kwa spidi ya Makonda. Kuweka mambo hadharani kuliwatoa sana upepo madila wa unga...
Narudia wabunge waliolamika ni wapiga majungu wanategemea ujinga wa wanaowasikiliza, Hakuna SUV Lexus ys milioni mia nne. Imekuwa ni Ferrari?
Gari kama Range linauzwa elfu sitini likiwa jipya likishatumika unaweza kulipata kwa elfu sita.
Bongo si kazi mtu kununua gari la 2008.
Wewe ushuzi nimejibu kwa ushahidi uliotolewa wa hiyo video. Wewe kama unajua five star hoteli aliyokaa si uitaje?
Na kama hao wabunge walishafika Marekani na wao walifika kwa hela gani?
Mtu amejitolea maisha yake kupambana na wauza unga halafu mijitu insingiza siasa na kumjengea hoja za kizushi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.