Recent content by Titicomb

  1. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Za Lameck zinahesabika?

    Nielekeze Twitter (x) page inaitwaje? Natanguliza shukrani.
  2. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Za Lameck zinahesabika?

    Mtu mmoja afanye hisani anitumie hiyo clip au anitumie link tu. PM ipo wazi. Cc: leo dada , Mshana Jr
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Chivayo, mke wake na wengine 3 kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania

    Kweli Okitobaa Twenti naini aligusa maisha ya watangatanga na nyika... 😷
  4. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa university na ulimbukeni wa Dar

    Duuh Ulitubu wewe. Haya matusi ya nini ustadh?
  5. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Naamini mikoa yote bara na visiwani kuna sehemu wapo hasa masokoni.
  6. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye uwezo kuliko wewe kifedha unaweza kumpa zawadi gani?

    Kama upo Dar unawapata soko la Kisutu hapo wazima kabisa. Kama unatoka Lumumba unaenda soko la Kisutu kabla hujavuka Bibi Titi Road jirani na City Mall. Ikiwa maeneo karibu na Mwenge au Shekilango masoko ya maeneo hayo wapo kote. Kama upo Mwanza, Arusha, Dodoma zipo sehemu wadau watakujuza.
  7. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Rip

    Kuna mtu alitupa taarifa hapa JF jamaa wa Arusha member wa JF amefariki. Jina nahisi hilihili. Miaka kadhaa iliyopita. Sikumbuki vizuri.
  8. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Acha na snap, kuna AI hapo mjini selfa 😊

    Mimi siamini ulijilipua ukaweka sura yako
  9. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Chivayo alikuwa kwenye hii helicopter

    Aisee. Kobe Bryant, Wicknell Chivayo ...
  10. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Niliweka rekodi Iringa > Dar

    Muda aliotaja mleta mada wa kawaida Sana. Tumetumia muda huo na basi za abiria Dar - Iringa mara nyingi miaka ya 2000 mwanzoni.
  11. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    Kichwa chake kipo vizuri. Pia àlisoma masters degree kule UK.
  12. Titicomb

    JamiiForums Tanzania MJUE MWENZI WAKO:-Tabia hizi ni za watu wenye kundi la damu AB

    Kuna ukweli mwingi. Nimo humo.
  13. Titicomb

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Kusema ukweli hisia zangu huyu marehemu biggie namhisi alihusika kuingiza silaha zilizo tumika kwenye ukatili wa MO29. Nahisi pia alikuwa anatumika kwenye biashara haramu mfano utakatishaji pesa za viongozi wa nchi ya Malawi.
  14. Titicomb

    JamiiForums Tanzania TCU ondoeni entry ya division II & III kidato cha sita kujiunga na chuo kikuu otherwise ni kushusha hadhi ya Elimu

    Pale UDSM nimeshuhudia walioingia na Division 1 kali wanakuwa discontinued na walioingia na Div 2 au D 3 na diploma wanamaliza chuo na GPA kubwa First Class. Matokeo ya mitihani iliyopita Kuna wakati siyo kipimo sahihi cha uwezo wa mtu. Kuna udanganyifu, matatizo ya kifamilia, uwezo kiuchumi...
Back
Top Bottom