Recent content by Titho Dyakiye Philemon

  1. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Ukute kweli. Mwamba ni kama ninaanza kukuelewa. Aise wewe ni Critical Thinker aisee.
  2. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi wapya Halmashauri ya Ngara wanalazimishwa kulipwa pesa ya kujikimu chini ya kiwango

    Mimi ni mwananchi na wanangara wote wananijua kaka, ni undergraduate ambaye sina cha kupoteza na ndiye niliyeshirikiana na mbunge wa Ngara kuibua kero za DMO aliyekuwepo hadi akaja huyu wa sasa ndipo hali ikawa sawa. Lakini kwakuwa nyakati hubadilika na watu hubadilika ila siamini kama huyu DMO...
  3. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi wapya Halmashauri ya Ngara wanalazimishwa kulipwa pesa ya kujikimu chini ya kiwango

    Binafsi kama kijana wa Ngara baada ya kuondoka kwa Mganga Mkuu aliyekuwepo awali alokuwa na kashfa Rukuki ikiwemo upotevu wa dawa na mengineyo, huyu wa sasa amekuja na mapinduzi ya dhati kwenye sekta ya afya Ngara. Ninadhani WATOA DOKEZO kabla hamjafanya claims za Flat Rate kwa waajiliwa wapya...
  4. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya (W) Ngara Col. Mathias Julius Kahabi Tishio la Kisiasa kwa Vijana wa Ngara : Mamlaka za Uteuzi Ingilieni Kati

    Mkuu wa wilaya ya Ngara COL. MATHIAS JULIUS KAHABI kupitia kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (W) Ngara cha mapema Mwezi huu Mei alinukuliwa akitoa kauli za vitisho dhidi ya vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitishia kuwakamata na akikishauri chama kutowateua katika nafasi za uongozi uchaguzi...
  5. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Waraka wa TEC kwa Wakatoliki Wote: Bila Mabadiliko Hakuna kujiandikisha, kugombea, kuhudhuria kampeni wala kupiga kura

    Kupiga kura siyo haki ya Msingi kwa Sheria za Tanzania Kama ni haki ya Msingi weka wazi kifungu chochote cha kisheria kuthibitisha hilo. Haki za Msingi tunatambua ziko Ibara ya 12 hadi 24 ya Katiba, hebu leta vitu tujifunze ndugu.
  6. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Katiba yetu ya CCM inaruhusu Mageuzi (Reforms), Hao Wana CCM Wanaopinga Reforms kwenye Sheria zetu za Uchaguzi Nchini ni Wanachama wa CCM gani ?

    Ndugu Watanzania, nianze kwa kuwasalimia kwa salamu ya chama changu pendwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Kidumu Chama cha Mapinduzi ..........................! Awali ya yote nitaomba radhi kwa kila Mwanachama wa CCM atakayekwazika kwa hiki ninachoenda kukifanyia uchambuzi. SIKU ZA HIVI KARIBUNI...
  7. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kususia uchaguzi, Luhaga Mpina ameanza kurudisha utii kwa CCM

    Are you sure kwamba MPINA unamumudu ndugu ? A guy is so bright and mentored at all. Mungu amtunze tu.
  8. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kabisa. Ukiona hadi international instruments zimeanza kuingilia kati basi tujue tayari dili limeshakuwa dirisha
  9. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri yetu ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  10. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndugu Solomon O. Kimilike, Msalaba Mzito kwa Maendeleo ya Halmashauri ya Ngara

    Ndugu zangu wana JF, ukizaliwa wilayani Ngara, Mkoani Kagera ni rahisi sana kutegua kitendawili cha Kwanini Nguruwe hauzwi kwenye minada ya mifugo licha ya kuwa ni mnyama anayefugwa na mwenye jina rasmi kwenye kundi la wanyama. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (DED) kwa...
  11. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (M) Kagera ifanyiwe Ukaguzi wa Ndani wa Dharura ili kudhibiti Upotevu wa Fedha za Umma Unaoonekana Kukithiri hivi sasa

    Hakuna Document ambayo iko attached hapo. Hata iliyokuwa attached by fault nayo nimeiondoa pia. Pia The Personal Data Protection Act CAP 44 Revised Edition of 2023 niko nayo makini kuliko kawaida. Hakuna anayeweza kupublish contents kama hizi zenye maslahi ya kijamii bila maandalizi
  12. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (M) Kagera ifanyiwe Ukaguzi wa Ndani wa Dharura ili kudhibiti Upotevu wa Fedha za Umma Unaoonekana Kukithiri hivi sasa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii iliwasilisha Rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa Mwaka 2025/2026 huku wadau wengi wa...
  13. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Heshimu huzuni yako maana ni takatifu

    Ahsante kwa nasaha Mshana Jr
  14. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Wazanzibari hawajui kama wao ni sehemu ya Jamuhuri ya Muungano. Sisi kama Tanzania Bara tukisema tusikope Wazanzibari wanateseka. Nashangaa kwanini wengi wao humu wanajibu kwa dharau sana. Let us learn to behave positively. We're both Tanzanians, no need of stratifications.
  15. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Kigezo cha mtu kuitwa machinga siyo namna ya ufanyaji wa biashara bali ni kiwango cha mtaji alichokiwekeza kwenye mtaji wake. Justifiably machinga anapaswa kuwa mtu yeyote mwenye mtaji ambao uko chini ya milioni 5 bila kujalisha namna na mahali anapofanyia biashara. Ila kwakuwa serikali yetu...
Back
Top Bottom