Recent content by Tiss

  1. T

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Hizi tuzo zimepoteza maana kabisa!Kuna fitina za wazi kabisa na mipango ya kupendelea watu fulani.Kama huyu dogo Belle 9 ni bora wasiwe wanamuweka kabisa maana hawamtendei haki.
  2. T

    Sifa, shobo na usharobaro vyamtokea puani mwanafunzi wa UCC Mbezi beach mbele ya wajeda leo

    Ilitokea uwanja wa Taifa kule nyuma wakati wa sherehe za Uhuru wakati wanajeshi ndio wanaingiza vifaa vyao vya kijeshi uwanjani kutoa show,sisi wenye vi-simu vyetu vya kichina tukaanza kupiga picha vifaa vya jeshi,basi alipita mwanajeshi mmoja akaanza kukusanya simu na kamera zote.Zilirudishwa...
  3. T

    Sehemu ya Hotuba Yangu ya Jana..."Fikiri Tofauti, Amua Mabadiliko Sasa"

    Halafu sio wewe kweli uliokana watanzania bungeni kwa kupitisha katiba ambayo haikuwa na maoni ya watanzania?Mwaka huu mtaamkia mpaka watoto wadogo!
  4. T

    Adam Malima kutangaza nia ya kuwania Urais

    Kuongoza jimbo lake tu la Mkuranga kumemshinda,mwaka wa kumi huu hata maji tu Mkuranga mjini anapoishi yeye hakuna.Tuacheni kuitania taasisi hii nyeti ya Urais. Lakini yote hii kasababisha baba yake Riz moja.
  5. T

    Hivi Adam Malima bado ni Naibu waziri?

    Huyu jamaa ni ziro tu ndo maana anapewa u-naibu Waziri tu.Alikuwa Naibu Waziri wa nishati lakini hata kijiji kilicho mita mia moja tu kutoka kijiji chenye umeme ameshindwa kufikisha umeme mpaka leo Naibu wa fedha. Jimboni kwake Mkuranga mwaka huu ana taabu sana maana UKAWA wamechukua mitaa...
  6. T

    Furahia simu yako hapa

    Mkuu mimi kwny kipengele cha mwisho niki download hiyo app ya kulock inaniambia It can't be open.Tena ni baada ya kumaliza kudownload.Au kwa kuwa nina application nyingine ya ku lock ambayo ni VAULT?
  7. T

    Wireless internet inagoma kupitia simu yangu

    Wataalam nisaidieni,nilikuwa natumia wireless connection ya internet kutoka simu yangu Tecno M3 kwa laptop yangu kwa kutumia WI-FI lakini nashangaa sasa hivi inanigomea.
Back
Top Bottom