Recent content by Tiology Katete

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Duu kwa hali hiyo sidhan kama tafanikiwa make sikupitia advance nilipitia chet then diploma,,,
  2. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Najua chuo cha DUCE ndo kinatoa kozi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Niambie ni kozi gani ya ualimu inayo nifaa kwa sifa za zangu kujiunga na shahada
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Kwamba haiwezekani???
  5. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Asante kaka ubarikiwe,, ningetaman nipate contact ako kama hutojali
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Umeshindwa kipengele kip ndugu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Yes na nishatumiwa sms na taesa ya kua be verifed,, ko nasubir interview
  8. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Ndugu huu uhasibu umenikera bora niendelee kupoteza tu mda
  9. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Hapana ntaomba mkopo nikikosa sisom
  10. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Ebhanae tupo make huu.uhasibu usipo kua na reffaree utaishia kulima vitunguu swaum
  11. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Hiyo GPA ninayo
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Asante ndugu make kna jemba ilikua inanikatisha tamaa, ngoja huu mwaka niombe nikibahatika ntamshukur Mungu,, Mungu akubarik
  13. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Ndugu nisaidie vp kwa sifa zang naweza chukua ualim wa biashara degree
  14. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Pia ntakutumia kila aina ya cheti ambacho na miliki make umekua mbishi so poa
  15. T

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu kada ya elimu

    Nipe namba ako ya wasap nikutumie
Back
Top Bottom