Recent content by tinWyn

  1. tinWyn

    JamiiForums Tanzania AUTOCAD COMPLETE COURSE BY MIKE FREEMAN

    Natafuta hii course ya Mike Freeman Autocad Complete (Offline)
  2. tinWyn

    JamiiForums Tanzania Ametoroka shuleni!

    Sawa, kwa maelezo ya wanafunzi wenzake aliwahi kutoa plan za kuondoka siku moja shuleni.
  3. tinWyn

    JamiiForums Tanzania Ametoroka shuleni!

    Amen 🙏
  4. tinWyn

    JamiiForums Tanzania Ametoroka shuleni!

    AMETOROKA SHULENI! Mtoto wetu DAVID R. KIGELULYE, kimo ~5ft. Mara ya mwisho kuonekana Iringa – Shule ya San Giovanni Paolo Sec, tarehe 20/08/2025. Tafadhali yeyote mwenye taarifa atujuze mara moja 🙏. Piga: 📞 +255 714 220 3363 / +255 675 962 254
  5. tinWyn

    JamiiForums Tanzania 10m capital/mtaji -Mpango wa mradi wa ufugaji wa nguruwe na biashara ya butcher

    Full Details: Find here >> MPANGO WA MRADI WA UFUGAJI WA NGURUWE NA BIASHARA YA BUTCHER
  6. tinWyn

    JamiiForums Tanzania 10m capital/mtaji -Mpango wa mradi wa ufugaji wa nguruwe na biashara ya butcher

    Jumla ya Bajeti: Tsh 10,000,000 1. Malengo ya Mradi 1. Kufuga nguruwe wa kisasa kwa ajili ya kuzalisha na kuuza nyama. 2. Kuongeza mtaji wa butcher ili kuongeza mzunguko wa mauzo. 3. Kujenga uthabiti wa kifedha wa familia kupitia kipato cha kilasiku (Butcher) na cha muda mrefu (Ufugaji). 2...
  7. tinWyn

    JamiiForums Tanzania KERO Mifumo ya kuomba ajira kwa njia ya mtandao magereza polisi na zimamoto ni tatizo kubwa sana

    Unaaapply kwa cheti kipi? NOTE: Internet speed iwe stable na session ya browser inatimeout hivo ujicancel kila wakati inahitaji uvumilivu kwenye hilo. Wtsup utatuma details kwaajiri ya application yako mkuu...
  8. tinWyn

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Basi la Shule – Malipo ya Awamu 🚍 TABORA

    Habari, Tunatafuta mtu au kampuni inayoweza kutupatia school bus kwa mpango wa malipo ya awali (down payment) na kisha kumalizia kulipia kwa awamu. Shule ipo Tabora na basi litakuwa kwa matumizi ya kusafirisha wanafunzi. Kama una au unajua kampuni/mtu anayeweza kutoa huduma hii, tafadhali...
  9. tinWyn

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa vs Kujiajiri kipi Bora? Mdau karibu utupe maoni yako

    Tafuta hiki kitabu Cashflow Quadrant by Robert Kiyosaki. Amejibu swali hili kwa upana zaid.
  10. tinWyn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtumia nauli, akiwa njiani anakuja kadakwa na wengine.

    Reverse Muhamala...
Back
Top Bottom