Kahama mabenki yapo mengi kuliko njombe. ACB, AZANIA, NBC, CRDB, NMB, TPB, hapo hujawaweka akina FINCA na wadogo zake. Kwa hilo tu, Njombe inaachwa mbali. Kimapato, mgodi wa Buzwagi unatema njulu za kutosha. Pia Kahama ni center kubwa inayohudumia wafanyabiashara kutoka Rwanda, Burundi na...