Recent content by Tino Rushema

  1. T

    JamiiForums Tanzania I miss those days

    I miss those days bibi harusi anatembea kwa miguu toka nyumbani kwao to Church na from church to husband's home. I miss those days bibi harusi anakula keki na kushushia na chai ya moto.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziba wanabaguliwa na Wahaya wenzao?

    Kuhusu umalaya makabila yote tz ni malaya,nimekaa mikoa mingi nimeona kumbe wahaya wanasingiziwa kuhusu kuduu, watu wanagawa k bila break mf. Iringa, mara, Singida, kondoa nk unaweza usioe ati! Mhaya si lolote kwa sasa
  3. T

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank mmenikwamisha, mmenikera, mmenidhalilisha sana

    Inauma aisee, pesa yako alafu unabaniwa na system mbovu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya msemo "Mungu si Athuman"

    Hi wana jf, naomba kuelimishwa maana kuna Usemi huu "Mungu si Athuman"siuelewi. Watu wanatumia huu usemi wanapofanikiwa ktk jambo flani ambalo hawakutalajia au kuwa na uhakika nalo. Huyu Athuman alikuwa mtu wa namna gani kwenye maandiko?Kwanini awe yy tu asemwe si kama mungu kitabia asisemwe...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

    Nilijua atapita, Mess alikuwa Majeruhi muda mrefu
Back
Top Bottom