Recent content by Tine Dutch

  1. Tine Dutch

    JamiiForums Tanzania Yanga vs wamisri kila goli mil 50!!chezea manji

    Kwa dau hilo hata Goal Keeper atataka akafunge la kwake.
  2. Tine Dutch

    JamiiForums Tanzania Karibuni kumbukumbu ya Dr Daud Balali aliyekuwa gavana wa BOT

    Nina wasiwasi na muanzisha thread, anaweza kuwa ndiye Daudu Balali mwenyewe [kama kweli hajafa]
  3. Tine Dutch

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu kuhusu gari aina ya Toyota Voltz

    Bulldog Mkuu hii ni gani nzuri na imara, nimeitumia kwa mwaka 1 na nusu kabla haijapata ajali. Uwezo wa engine ni mzuri na inakidhi mahitaji yako vile utakavyo, HUTAJUTA KUWA NAYO.
  4. Tine Dutch

    JamiiForums Tanzania Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

    Kama ni kweli basi utajiri wake huu una mashaka!!
  5. Tine Dutch

    JamiiForums Tanzania Watanzania 160 wanyongwa China jana

    :flypig: R.I.P
  6. Tine Dutch

    JamiiForums Tanzania Zawadi Nono kwa atakayesema hii picha ilipigwa wapi

    Ipagala
Back
Top Bottom