Recent content by timpolo

  1. T

    Nifahamisheni umuhimu/madhara ya muungano wa serikali mbili na madhala ya muungano wa serikali tatu.

    Hbr wana jamii forum, nimejaribu xana kufuatilia mgongano wa mawazo au mitizamo ya watu wengi juu ya aina ya muungano tulionao kwa ss, imeonekana mitizamo ya kila aina kwa watu. katika watu niliowahi kuwauliza juu ya umuhimu na athari ya aina ya muungano tulio nao kwa sasa wengi hawanipi majibu...
  2. T

    Matokeo ya mbeya cty vipi jamani?

    Naomba mnijulishe matokeo ya mbeya cty na kagera sugar
  3. T

    Jangwani: Lissu amenisikitisha!

    Najua uelewa wako mbovu ndio unaokusigitisha na co kauli ya tundulissu.
Back
Top Bottom