Recent content by timothkaswaga

  1. T

    JamiiForums Tanzania Siasa za Bongo zinanishangaza sana

    Katika siasa hakuna rafiki wa kudumu pia adui wa kudumu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki: Daktari Mkuu Morogoro akumbwa, ni msomi toka Urusi aliyekaribia kustaafu

    Inawezekana tu,,,kuwa na cheti feki ina maana nyingi,,inawezekana alimaliza kidato mf cha NNE akashindwa kupata pass za kumwezesha kusoma akipendacho,,akaamua kufanya manuva akapata cheti kingine na kuendelea na masomo,,kufeli haimaanishi huna akili,,kufeli kunaweza kusababishwa na mambo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ally Kessy mbunge wa Nkasi acharuka, agoma kuchangia 30,000

    Mfano ujenzi wa zahanati
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kasikazini amwapisha mwanaye wa miaka 9 kuwa luteni wa jeshi

    Mmmmmmmmmmm,,hii sasa imepitiliza
  5. T

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa maoni "Acha Wafe" kwenye habari ya kuuawa askari 8 atiwa mbaroni Mbeya

    Naomba kujua,,anaweza funguliwa kesi gani ;!!!?
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 28 ninaweza kumuoa mwanamke mwenye miaka 27?

    Mke sio saizi ya kiatu,,kikubwa kila MTU atambue wajibu wake
  7. T

    JamiiForums Tanzania JWTZ Musoma mmefanya uungwana mkubwa kwa ndg zenu polisi

    It's a lesson..
  8. T

    JamiiForums Tanzania Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Roma katudanganya sana,,tena mungu atatakiwa amchape
  9. T

    JamiiForums Tanzania Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Una haki kutumia hiyo lugha,,maana ni kweli nilikurupuka kumuonea huruma Roma
  10. T

    JamiiForums Tanzania Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Nashukuru kwa kunikumbusha,,,yaani Roma tulikuwa tumemuonea huruma,,ni sawa na wale wanaowaonea huruma wanoigiza kufa kwenye movie,, Roma alifanikiwa pakubwa kuichezea akili ya yangu pakubwa,,,mungu aendelee kumuona hakika
  11. T

    JamiiForums Tanzania Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Binafsi najilaumu kwa nini niliuruhusu moyo wangu kuumia kwa lile igizo la utekwa kwa Roma
  12. T

    JamiiForums Tanzania Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Roma kaudanganya umma,,eti walivaa vitambaa,,waliingia studio huku wanasiraha na wamevaa vitambaa then unakubali kirahisirahisi tuu,,mmmmmmmmmmm hii ni comedy,,
  13. T

    JamiiForums Tanzania Yaani hata CCM wamshangaa Roma wahoji anaficha nini?

    Roma ukimuangalia usoni anapoongelea kutekwa kwake hakuhitaji use na PhD ili ugundue kama anafanya komedi,,najilaumu sana kwa nini nilimuonea huruma niliposikia ametekwa,,kwa ule ukweli Roma mungu anamuona, hakika Roma kuna kitu kakificha,,:eti hajjui walimpeleka wapi,!!?,inamaana eneo...
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

    Zilizokuwa zinaitwa din za jadi,
Back
Top Bottom