Recent content by Timosa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshinda vita dhidi ya maadui zake na maadui wa Taifa letu waliotaka kuliangamiza Na Kuliteketeza Taifa letu

    Kitu nachukia kwanni hafanyi sherehe kusherekea ushindi mkubwa kwa kumaliza hao maadui kwani anamwogopa nanii.. Fanyeni tamasha kubwa mcheze music huku mmebeba picha za hao waliotaka kuangamiza taifa wakiwa barabaran wamekufa mkisifu mungu wenu Allah.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya: CHADEMA yaendelea kutikisa, Polisi watumika kuiokoa CCM, Wananchi wazomea

    Ni kama police ili ubakie kwenye nafasi uliyopewa jukumu la kwanza ni kupambana na chadema kwa kila hali na ukifanya makosa unaweza porwa nafasi hiyo na kupewa kichaa mwingine ambae ataweza itumia vizuri.. Africa tulihitaji uhuru wa kiraiya ila sio uhuru wa kijitawala kiserikali tunahitaji...
  3. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtoto wa Jenista Mhagama ajitosa kumrithi mama yake jimbo la Peramiho

    We endelea kuswaga baskeli yako ya kojani..
  4. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ukatili ni zaidi ya Unyama, Polisi chunguzeni mapema

    African people..
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Ivory Coast ahoji AFCON 2027 kufanyika Afrika Mashariki yenye barabara mbovu na miundombinu mibovu

    🤣🤣🤣huku ndo wanalipa watu mashamba waanze kuandaa barabara..
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kijana huna mamlaka ya kumkosoa na kumjibu Mzee Warioba

    Jamaa ni kama wamechaguana wajinga kuongiza nchi mpaka leo tunamaliza miezi mitatu bado ni majibizano tu huyu anamjibu Kitima yule anamjibu warioba. Sijui nani anawadanganya kuwajibu kwao ndio kutaleta ahuweni kwenye taifa hili linalopotelea gizani.
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wakuu demu ukimuomba namba alisema Hana simu inamaana ndio hakutaki au

    Mnunulie simu tena smart
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 25 nimeota mvi karibu kichwa kizima

    🤣🤣🤣🤣🤣tupo wengi sema mi tayari nipo 32.japo ni moja moja ila zimeanza kukubali sisi kwetu wote mvi ni jambo la kawaida.
  9. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Jaji Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo, tunakuheshimu, staafu vizuri

    Ye angejazibu kuchambua report ya DW kuwajibu hawa watu wanaoshauri njia nzuri ya kumaliza matatizo yaliyopo na yaliyotokea kunawafanya waonekane wajinga zaidi
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi telegram bado imefungwa wazee maana ninaugwadu

    Tele
  11. T

    JamiiForums Tanzania TECNO Spark 40 ni mfano wa simu zinazofanya watumiaji wa TECNO wadharaulike!

    🤣🤣🤣🤣asee kweli nikiangaliaga mtu anatumia naskia huruma sana.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kipanya na vibonzo..

    Inasikitishaa.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kipanya na vibonzo..

  14. T

    JamiiForums Tanzania Simu ipi yenye camera nzuri?

    Sawa
Back
Top Bottom