Recent content by Time is time

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kumbukeni huyu polepole ana maisha mazuri tayari. Asituharibie watu wa chiini. Hata familia yake inaishi bahari beach kwa wakubwa

    Kama polepole anaishi Bahari beach Huyo mama ako anaishi wapi?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tank la Maji used

    Nahitaji used simtank la maji lita 10,0000 Angalizo Liwe bado zima Iwe Dodoma
  3. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yaionya Kigoma Ujiji juu ya kushiriki OGP na kuitaka kujitoa mara moja. Yatishia kuvunja Baraza la Madiwani

    Ulishawahi kuona mlevi anapenda mwanga wa taa? Ndio serikali yetu haipe pendi uwazi hata kidogo.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Zitto Kabwe ana tatizo zito kichwani

    Hivi huyu Jamaa zinamtosha kweli? Mtu anazungumzia maswala ya uchumi wa taifa huyu nae anabwabwaja,,mi namshari ajitafakari maana huenda zimemruka
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichozungumzwa na Kailima Ramadhani Mkurugenzi wa NEC kwenye 360 ya Clouds TV

    Hivi atasemaje?wakati aliemteua ndio ameshamuelekeza?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ahamisha wakuu wa mikoa wapya juu kwa juu

    Itakuwa bwabwa lake....bila shaka.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tume yafafanua mikutano ya hadhara uchaguzi mdogo wa madiwani

    Jaman hawa viongoz wetu mbon wanaji bebisha sana kwa Mkulu,au ni order?
  8. T

    JamiiForums Tanzania KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Hapo umenena mkuu,nawashanga wanaofurahia au wamesha pewa hela ya makinikia?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Leo 360 ya clouds tv wametendea haki u

    Mkuu hata mimi nimejiuliza maswali mengi leo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Leo 360 ya clouds tv wametendea haki u

    360 Clouds leo mmenifrahisha sana kwa uchambuzi wa Gazeti flani lililohoji matumizi ya pesa za rambirambi Bukoba. SAM:hivii zile pesa tungehimizwa kuchanga kwa ajili ya miundo mbinu ingekuwaje? BABIE: aah...tungechanga tuuuu!!!! SAM:Acha zako weweee... SIMJUI: Kwani kitengo cha maafa ofisi ya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, yatafakari upya mahusiano Yako na Mungu

    Umenena vyema mkuu.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nakuomba Professor Lipumba ukafanye Ukarabati Kijijini kwenu

    Hata ninyi mnaocheka humu weng wenu hamna vibanda huko kwenu.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Uongozi Taifa Kupokelewa katika Ofisi Kuu za CUF Buguruni

    haaa haa sijui itakuwaje iyo siku akutwe ndan ya kumi na nane(18) zao
  14. T

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Uongozi la Taifa CUF, kwa kutumia uwezo wake limemfukuza uanachama Profesa Lipumba

    nasikiliza redio one now breaking newz nikwel wamemfukuza Lipumba
Back
Top Bottom