Recent content by Time Bandit

  1. Time Bandit

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Hata mimi nadhani wakati anaandika kulikuwa na mpakato unaendelea..
  2. Time Bandit

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Nadhani unafahamu kwamba green Guard ilitengenezwa kabla ya Red Brigade...
  3. Time Bandit

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    ......Wewe unaishi nje ya nchi Mkuu?Kwani hukuona visa vingi ktk uchaguzi ulioisha hivi majuzi?Huu ni muendelezo tu..
  4. Time Bandit

    CCM vs CHADEMA: Ali Mufuruki amaliza kabisa

    Hii ndo tunaita selective myopia!...Kwamba Mufuruki ameona matatizo yanayoweza kujitokeza kama tu CHADEMA itachukua nchi,bila kuchambua athari ambazo CCM imezileta na kuacha uozo mwingi in its trail,kama mauaji ya tembo,uhujumu uchumi on record levels(ESCROW!),Mikataba mibovu na debilitating...
  5. Time Bandit

    Why should I get married?

    Ok..Mr perfect is somewhere waiting...hopefully!Goodluck!
  6. Time Bandit

    CCM's worst nightmare now a fact

    Mkuu,inaelekea ishu za international relations zimekupitia mbali sana.Unakumbuka kwamba Sadam Hussein alikuwa kipenzi cha Marekani?..at the end of time who killed him?Osama je? By the way..Fatou Bensouda hakuja bongo kama shangazi wa karibu wa JK...ailkuja kama the highiest...
  7. Time Bandit

    CCM's worst nightmare now a fact

    Fatou ana-represent institution,hakuja kumuona JK kirafiki...kama JK atafanya madudu unadhani ataachwa?
  8. Time Bandit

    CCM's worst nightmare now a fact

    God is tired of this monstrosity anyway!
  9. Time Bandit

    CCM's worst nightmare now a fact

    The dark,ominous stormcloud in the horizon is looming large with every second that passes-by....at least for CCM,the worst nightmare is in fact VERY REAL!I thought I couldnt live to see this happenning...But hey!In life..Strange things happen..this is one of them... CCM is a goner!
  10. Time Bandit

    Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    Wapiga dili ni wale waliochota feha za ESCROW kwa magunia wewe...na bado wanataka kuiba kura ili waendelee kupiga dili nyingine...this time mmeshikwa pabaya..povu linawatoka,pumzi kwishney!
  11. Time Bandit

    Kauli ya Mbowe ilaaniwe na wapenda amani

    Kama ktk mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM mliibiana kura....hizi za UKAWA mtaziachaje?Hamuaminiki!
  12. Time Bandit

    GE2015 Paul Makonda unapata wapi ujasiri wa kukataza wananchi kusubiria matokeo ya kura?

    Hata kama ni mjinga usipende ujinga wako uonekane wazi....Kwani kiongozi wa kamati ya ulinzi na usalama hapaswi kafuata sheria?Sheria inasema mita 200....huo ukuu wake wa kamati na ulinzi hauko juu ya sheria!PERIOD! Mishipa imewatoka!kisa kuiba kura...mtailipua hii nchi ninyi!
  13. Time Bandit

    Makonda: Kinondoni hatutaruhusu mtu yeyote kubaki vituoni

    Naona you guys are hell-bent kwenye ishu nzima ya kuiba kura!By the way watu hawana imani na syatem kwa sababu historia inaihukumu ccm linapkuja swala la wizi wa kura.Imagine this...kama katika mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM makada kama Gaudencia kabaka na Chegeni waliiba kura na...
  14. Time Bandit

    Why should I get married?

    Marriage ni kama crush tu...You meet a person,with all the necessary ingredients(as per your standards),by accident in most cases..and above all you find a striking balance in everything between you(you and him)...with the perfect chemistry!Mnajikuta tu hamchokani,everyone enjoy the other person...
  15. Time Bandit

    Why should I get married?

    Ukinogewa utaomba umiliki wa hiyo Joystick haraka sana...labda bado hujampata mnogeshaji
Back
Top Bottom