Mkoa wa Mara una watu wenye kabila tofauti na nyingi ingawa matamshi yao kwa asilimia kubwa hurandana kwani huwa katika hali ya ukali.
Endapo kama wewe siyo mwenyeji wa Mkoa huo unaweza kustaajabishwa jinsi wenyeji wanavyowasiliana.
Matharan kwenye biashara husadikiwa kuwa mteja ni mfalme...
HATUA KALI ZICHUKULIWE WAUGUZI WANAOFANYA MIKAKATI YA UPASUAJI WAJAWAZITO ILI WAPIGE PESA HOSPITALI YA BUTIAMA
Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini amemtaka mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuchukua hatua kali kwa watoa huduma za afya watakaobainika wakifanya mikakati ya kuwazalisha kwa njia...
Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini amewataka wananchi kufanyiwa vipimo kabla ya kuoana kama waelekezavyo watoa huduma za afya ili kupunguza tatizo la ueneaji wa ugonjwa wa sikoseli ambapo umekuwa tishio kwa wananchi wa Tarafa ya Kiagata.
Akizungumza mara baada ya kutembelea na kukagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.