Recent content by Timba Emmanuel

  1. T

    Tractor inauzwa bei cheeee

    hiyo bei ni ikiwa Marekani?je itagharimu kiasi gani ikiwa hapa Tz
  2. T

    ungekuwa hakimu ungeamuaje hii kesi?

    ningemuhukumu jela kwa uelewa wake mdogo akajifunze.
  3. T

    interview:ungekua wewe ungefanya nini

    ningeendelea na interview kama vile hakuna kilichotokea.
  4. T

    jamani nyie wanaume

    huyo tayari moyo wake umetulia mahali pengine,nawe jitambue kua hakuhitaji tena.usikate tamaa maisha yapo mengine zaidi yake.
  5. T

    Inashangaza lakini ndio ukweli, Wanaume huwaogopa wanawake smart!

    kweli mkuu mwanaume asipojiamini mwanamke akawa na sauti zaidi nyumba haitakalika,mwanamke smart atapenda kummiliki mume tofauti na hawa wakawaida wanao jishusha.
  6. T

    Hizi signal zinaweza kutusaidia waliohusika na bomu la Arusha juzi

    big up mkuu,hiyo ni kweli ila wakupinga wapo kwa maslahi yao,japo wanaujua ukweli na wamekuelewa.
Back
Top Bottom