Recent content by tilburg1

  1. T

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi hali ni shwari mpaka muda huu

    Duh basi selasini aongezewe awe angalua hamsini
  2. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Na utashangaa jinsi Watanzania wanafiki watakavyo shangilia. Sababu anaweze sema kuwa hiki kiti hakimfai huyo mama tunahitaji katiba mpya na uchaguzi mpya ndani ya miezi mitatu ,nani atapinga Tanzania? Wote watashangilia.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Shida ita tokea mkuu wa Mjeshi atakapo tangaza kuwa huyu mama atarudi Tanzania kama raia wengine na si mkuu wa nchi kama Idi Amini alivyo fanya KWA Obete miaka hiyo.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Wacheni Tuseme Ukweli

    Voicer wewe ni muelewa sana , Samia ni mwana siasa ata pita lakini Tanzania itabaki pale pale. Raisi una acha ikulu kwenda kutangaza film za utalii labda hujui kazi yako.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Kwa hiyo sasa hivi rais Samia anapewa breifings za intellegencia za nchi muda wote akiwa uagaibuni sio?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Lakini ulisha wahi kuona rais Kagame ana acha ikulu yake kutembelea Arsenal au UK kwa mwezi mzima?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Wamarekani wanatudharau

    Hata Diomond ange weza kumtuma aende kufanya hiyo kazi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Wamarekani wanatudharau

    Hizo ni kazi za idara wala sio waziri au taasisi za kiraisi amejishusha. Hakujifunza kwa Magufuli, sababu hange fanya huo mchezo.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais unakaa nchi ya watu wiki na kundi la msafara, hii ni aibu sana

    Pengine ni ushauri alio pewa na yule waziri mstaafu wa Uingereza
  10. T

    JamiiForums Tanzania Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

    Akihamia Ulaya hapa watamkamata na kumpeleka Amerika ambako anatafutwa kama mkiukwa haki za binadamu
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea siku ya kuzaliwa hali ya kuwa wananchi wanateseka na umasikini

    Umesahau The Netherlands siku ya kuzaliwa ya king kila bidhaa ina uzwa bei chini na free day nenda haraka nunua unacho taka, tena tuna amka mapema sana kuwahi soko. Na ishi hapa miaka 25 sasa ni mtanzania mke Mholanzi watoto mchanganyiko.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sauti za kike zilizokuwa zikimback up Ndugai wakati akiongelea Mikopo ni kina nani!?

    The best speach of Ndugai, hata kama ata toka pumzika kwa amani, watanzania wata kukumbuka kwa hotuba hiyo. Ulikuwa wapi muda huo wote kuongea kama vile?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, sasa utawakumbuka wapinzani ndani ya Bunge

    Ndio maana Nyerere aliwakwepa Washirazi, leo mmeshawapa nchi itakula kwenu. Tundu Lisu ni nabii.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

    Huko hahitaji kuja, sababu aje asije kura zote atapata hakuna upinzani. kuna wabunge wangapi wa upinzani waliwahi tokea huko?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna akiba ya forex ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa miezi sita au kutulisha wote kwa miezi mitatu

    kwakuwa GDP per Capita yetu ni Tshs 2,653.8 au $1,156.8, hapa sija kuelewa kwa hiyo nakosa imani na data zako, unamanisha Tshs 2,653.8 ni sawa na dollar 1,156.8 au? sababu kama sikosei dollar moja ni karibu na elfu mbili za Tanzania.
Back
Top Bottom