Recent content by Tijuana

  1. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Mungu ibariki Tanzania,wabariki wananchi wake...
  2. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Humu Kuna mtu alibisha kuwa Australia haikutawaliwa na akamuambia mwenzake kuwa arudi shule ,nilivyoona comment yake nikabaki kucheka sana KWA confidence yake ya ubishi aliyonayo Kifupi Australia ilitawaliwa na ilikuwa koloni la uingereza
  3. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Hii ndo point kuu..manake hata ngozi nyeusi wa bara la America kaskazini kama Haiti mnajionea wenyewe yanayoendelea
  4. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Raum inauzwa kwa Milioni 15.5

    Gharama 15.5m Toyota-RAUM CC:1490 Kilometer: imetembea km 75k Mwaka: 2003 Imesajiliw: 2024 Matumizi: Kazini-Nyumbani Hali yake: Imetumika ila kama mpya siongei sana ukiiwasha tu tayari unaomba account NB: Nipo nayo chanika haina kipengele labda ujenacho wewe tajiri Phone:0716161683
  5. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Car for sell 15.5 million /Contacts-0716161683

    ⏭️GHARAMA 15.5m ⏭️TOYOTA-RAUM ⏭️CC:1490 ⏭️KM: imetembea km 75k ⏭️MWAKA: 2003 ⏭️IMESAJILIWA: 2024 ⏭️MATUMIZI: KAZINI-NYUMBANI ⏭️HALI YAKE: IMETUMIKA KAMA MPYA SIONGEI SANA UKIIWASHA TU TAYARI UNAOMBA ACCOUNT NB: Nipo nayo chanika haina kipengele labda ujenacho wewe tajiri Phone:0716161683
  6. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Si Kila taarifa ya kwenye AI unaibeba kama ilivyo.

    😁😁😁
  7. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Car for sell 15.5 million

    😁😁Hapo kwenye km nilitype kama kipofu ,nilitaka kamaanisha imetembea km 75k hiyo per hour nimejikuta tu nimeandika utadhani nasolve mathematics au geography ....sasa nipigie au nipe namba yako dm nikupange kitu tuelewane kuhusu price
  8. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Car for sell 15.5 million

    Njoo mezani tujadili discount
  9. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Car for sell 15.5 million

    Kaka ongeza kidogo ukaribie 15 uibebe, ila kama una 12 tu ipo gari nyingine kama hiyo ila namba D ,nicheki kwa kunipigia au whatsaap nkutumie picha nayo nzuri
  10. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Car for sell 15.5 million

    Call 0716161683
  11. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Car for sell 15.5 million

    ⏭️GHARAMA 15.5m ⏭️TOYOTA-RAUM ⏭️CC:1490 ⏭️KM: 75km/hr ⏭️MWAKA: 2003 ⏭️IMESAJILIWA: 2024 ⏭️MATUMIZI: KAZINI-NYUMBANI ⏭️HALI YAKE: IMETUMIKA KAMA MPYA SIONGEI SANA UKIIWASHA TU TAYARI UNAOMBA ACCOUNT NB: Nipo nayo chanika haina kipengele labda ujenacho wewe tajiri Phone:0716161683
  12. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Natengeneza cv ats friendly na business proposal kwa bei nafuu

    Pata nyaraka zenye viwango vya kimataifa sasa!📄 Kwa kuandaliwa:- 1. Business & Project Proposals Miradi: Kituo cha yatima (Orphanage), Usafi wa mtoto wa kike (Girls hygiene), n.k.Lengo: Kuomba fedha za ufadhili (Grants/Funding).Bei: Makubaliano kulingana na ukubwa wa kazi. 2. 📝 CV & Resume za...
  13. Tijuana

    JamiiForums Tanzania TV sing sung for sale

    Ok unapigiwa ASAP
  14. Tijuana

    JamiiForums Tanzania Product Type: Samsung 32-inch LED TV (Series 4, e.g., UA32J4003). Key Specs: 1366 x 768 resolution, Dolby Digital Plus, 2 HDMI ports, 1 USB port.

    Product Type: Samsung 32-inch LED TV (Series 4, e.g., UA32J4003). Key Specs: 1366 x 768 resolution, Dolby Digital Plus, 2 HDMI ports, 1 USB port. Status: Used like New….imetumika kama mpya. Charger: AC/DC Adapter Bei: 250,000/= Location: Chanika! Simu: 0716161683
  15. Tijuana

    JamiiForums Tanzania TV sing sung for sale

    SING SUNG -32-inch LED TV Technology . Ina: 2 HDMI ports, 1 USB port, 1 VGA port, AV input, and RF input. Bei: 160,000/= Location: Chanika Simu: 0716161683
Back
Top Bottom