Mimi binafsi navutiwa na mambo ya graphics, hasa kuchora katuni kwa kutumia adobe illustrator (ingawa sijasomea bali najifunza kupitia tutorials mbalimbali). Nilitoa wazo katika kundi fulani facebook, kwamba tuunde kundi la whatsapp ambapo tutakuwa tunasaidiana na kuelekezana kuhusu mambo hayo...
Nina smartphone,Huawei Y300 tatizo lake imekuwa inaniletea ujumbe huu "Unfortunately, the process com.google.process.gasps has stopped" kiasi kwamba nashindwa kuitumia kabisa na nimejaribu factory reset lakini bado city havifutiki. Mwenye wazo/msaada naomba nisaidiwe.
Nilikuwa natumia adobe illustrator CS6 ila muda wake wa trial umeisha na nimejaribu kutumia crack files bila mafanikio yoyote je mnaweza kunisaidia niweze kuitumia application hiyo.
Tatizo ni kwamba zinakataa,nilitumia trial version muda wake umeisha na nimejaribu kudownload na kufuata maelekezo lakini bado inagoma.Je hakuna njia nyingine maana nimehangaika bila mafanikio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.