NIMEMSIKILIZA vema Tundu Lissu. Amesema bungeni na kwenye mikutano ya hadhara.
Wasiomwelewa, au wanaoogopa kujibu hoja zake, bila shaka kwa kutokuwa na majibu, wamekimbilia kusema kwamba Lissu ametukana waasisi wa nchi.
Lissu anauliza maswali magumu. Wanaojaribu kumpinga wanatoa majibu...