Recent content by Tigga Mumba

  1. Tigga Mumba

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Nilikuwa na mchumba mmoja anaishi huko Mwananyamala. Huyu mchumba alikuwa wa kisure fulani hivi sema ndio wazazi walijenga huko kitambo. Ila alikuwa na tabia za kihuko huko. Sitasahau kumlia mingo kumbe na mimi wazee wa roba za mbao wananilia timing. Ila mchumba alikuwa mtata sana
  2. Tigga Mumba

    Je, mwisho wa chini ya ardhi ya dunia kuna nini?

    Ok. Nje ya box! Interesting
  3. Tigga Mumba

    Je, mwisho wa chini ya ardhi ya dunia kuna nini?

    Inabidi kutoa shule murua maana kuna mengi sana sana ambayo kumbe wengi hawayajui. Sijasema kuwa maji yaliyopo duniani ni hayo tunayoyaona ambayo yako juu ya seafloor(kama ni bahari), La Hasha! Miamba inayotengeneza ardhi mpaka juu yetu ilitengenezwa na inatengenezwa kwa mfumo wa deposition...
  4. Tigga Mumba

    Je, mwisho wa chini ya ardhi ya dunia kuna nini?

    Mkuu kuna makala za upotoshaji ambazo ukisoma na usipojiongeza utaumiza kichwa. Mimi nimeshashiriki kwenye uchimbaji wa visima virefu sana tena baharini. Kwenda chini 4 - 5 kilometa. Yaani kwenye meli ya uchimbaji juu ni 1.5km kufika seabed na kutoka hapo seabed mpaka target ni 4-5kms. Hakuna...
  5. Tigga Mumba

    Je, mwisho wa chini ya ardhi ya dunia kuna nini?

    Naona kadhaa wametoa majibu sahihi kabisa. Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa tafiti za kisayansi kuhusu mambo ya astronomy n.k. Kuna mengi bado tunayatafiti. Kuhusu dunia. Kwanza dunia na sayari zote zinazozunguka nyota ya(inayoitwa) JUA(SUN), zote ni duara(linaweza lisiwe kamili yaani oval...
  6. Tigga Mumba

    Kwa wapenzi wa riwaya za Kiswahili, mzigo wa 'Mkimbizi' wa ndugu yetu Tuwa, huu hapa

    Safi kabisa kwa kupata tuzo. Na zije zaidi na zaidi. Jamaa namna anavyoweka uhusika kuwa wako msomaji ni kipaji cha hali ya juu. Niliposoma kwa mara ya kwanza hii hadithi(na marafiki kadhaa) tulijikuta tumekuwa addicted kiasi kuogopa pale mjini "THE RICKSHAW".
  7. Tigga Mumba

    Kwa wapenzi wa riwaya za Kiswahili, mzigo wa 'Mkimbizi' wa ndugu yetu Tuwa, huu hapa

    Hii hadithi ilinifanya nipende kusoma sana hadithi especially za mtunzi. Visa alivyopitia Tigga Mumba vilisababisha nitumie jina lake humu. Huyu jamaa inabidi apewe tuzo
  8. Tigga Mumba

    Mnaoendesha magari jijini Dar es Salaam, nina swali la 'kipima joto'

    Technology hii ipo. Mimi nilipokuwa Ujerumani nilishuhudia kabisa kwenye mataa wakati nafika taa ilikuwa red na upande wa pili lilikuwa gari moja tu likapita. Ilichukua sekunde kadhaa zile taa zangu zikaniruhusu. Ni smart traffic lights.
  9. Tigga Mumba

    Ngono sasa marufuku Blogger

    Google wanataka kututia simanzi na Rahatupu yetu
  10. Tigga Mumba

    Kondom imechanika wakati wa tendo la ndoa

    Albosignathus Hamkuwa mnafanya tendo la ndoa, mlikuwa mnazini. Halafu story yako ya kuchangamsha jamvi maana ina makosa mengi ya kiutendaji kama tukio la Tanga
  11. Tigga Mumba

    Yaliyonikuta Valentine, mtaka yote kwa pupa hukosa yote

    Niambie tu hii ni story sio kweli kuwa ulikuwa wewe
  12. Tigga Mumba

    Swali kwa walioolewa

    Vitu ambavyo tangu zamani tukiwa ma best friends na mke wangu alikuwa anatambua sivifurahii ni; 1. Kucha bandia. 2. Tattoo. 3. Nywele bandia(ila anaweza kuweka tu kwa some cases maana wanawake kudeal na nywele zao ni challenge. 4. Kope bandia. 5. Lipstick kama tunataka kugombana. Mke wangu...
  13. Tigga Mumba

    Huyu abiria lazima katumwa kuvuruga biashara ya kampuni hii

    Huo mwendo wa kawaida ni upi? Je uliona kwa macho yako? Na je huo mwendo ndio unaoruhusiwa kisheria kwa mabasi ya abiria?
  14. Tigga Mumba

    Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

    Mkuu case yako haina tofauti sana na yangu. Mimi mke wangu alipitia maisha ya ovyo sana. Wazazi wote walifariki. Alilelewa kwa ndugu ambapo alikuwa mistreated vibaya mno. Yeye ndiye wa kutumikishwa. Shule yeye ndiye wa kusoma shule mbaya wenzake international. Sababu mke wangu nilikuwa...
  15. Tigga Mumba

    Kwa wale mnaowachukia mashoga nina swali

    Mtoa mada naona umezungumzia Thread Closed ila ngoja nami nichangie kidogo. Mimi ninawachukia Mashoga in a sense kwamba ni wanaume wanaokubali kuingiziwa sehemu za siri za wanaume wenzao kwenye sehemu zao za siri za kutolea haja kubwa(najua unatambua hili). Tatizo hili neno shoga linapoteza...
Back
Top Bottom