Ngono sasa marufuku Blogger

Ngono sasa marufuku Blogger

Kampuni ya mtandao ya Google imetoa tangazo kwa watengenezaji wa blog kuwa kuanzia Machi 23, 2015, hawataruhusiwa kuweka ama kutangaza picha na video za ngono ama zenye mwelekeo huo katika blog wanazozimiliki.


attachment.php



Taarifa hiyo ambayo imetolewa juma hili kwa blogger inaeleza kuwa picha na video zenye mwelekeo huo hazitaruhusiwa kuonekana kama ilivyosasa kuanzia siku hiyo.


Google imeeleza mabadiliko haya ya sera zake yanawataka wote walio kinyume na sera hiyo kuhakikisha wanafanya mabadiliko kwenye aina ya habari wanazozichapicha kwenye blog zao kabla ya muda huo ambapo wanatakiwa kuondoa picha na video za ngono ama kuzifanya blog binafsi na wasipofanya hivyo google watafanya mabadiliko ama kuiondoa blog hiyo.
 

Attachments

  • Google..jpg
    Google..jpg
    7.2 KB · Views: 4,646
Tupe source au hata Link
tutatafsiri wenyewe
lakini kusema mara ziwe Blog binafsi haueleweki
 
Daaa kwahiyo ile segment ya bongo certified sitoipata tenaaa....inauzunisha
 
Ukwaju CLICK HERE hiyo source hapo juu
kwanza tungepeana tafsiri ya kipengele hicho na hasa hapo kwenye RED
[h=3]Changes you'll see to your existing blogs[/h] If your existing blog doesn't have any sexually explicit or graphic nude images or video on it, you won't notice any changes.
If your existing blog does have sexually explicit or graphic nude images or video, your blog will be made private after March 23, 2015. No content will be deleted, but private content can only be seen by the owner or admins of the blog and the people who the owner has shared the blog with.

Hii itasaidia kuzuia vitoto vya facebook na Vyuoni ambavyo sasa vimekuwa kero vikiona nusu pichu
km ww ni Member wa Rahatupu.Blogspot.Com una wasiwasi gani hata km upo Jukwaa la mambo ya Kikubwa JF au worldsex.com ni kufuata masharti na umri basi hao Google waache na masharti yao wanajua nini madhara ya watoto kuangalia hasa kwenye simu na kuacha kusoma
 
huyu mitisa wa rahatupu angefungua wordpress fasta tuanze kuizoea

LIKE Niku ADD
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom