Recent content by Tiger B

  1. Tiger B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamba: Hata kama hatumkubali Rais Samia, ni wetu

    Hiki kizazi cha Wanasiasa kilichopo CCM ni cha hovyo sana. Imagine, Makamba, Nape, Mwigulu. Huyu Mama simzungumzii maana alikutana na Urais barabarani. Tunataka Rais aliyehustle. Rais anayeelewa maisha ya Kitanzania yalivyo. Siyo hawa uchwara waliokulia ikulu na kusoma nje ya nchi. Ukiwaambia...
  2. Tiger B

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

    Ninahisi kizunguzungu nikiinama au kutembea (siyo kikali sana). Umri ni 30s. Nimekazana kula kweli since then, but changes ni kidogo. Kiukweli kuna kipindi nimepitia hapa nyuma stress zikanipiga kidogo. At the moment sina. Mazingira ninayoishi ni ya kawaida ie hewa ni safi na mazingira yenyewe.
  3. Tiger B

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

    Umuofia kwenu Wakuu. Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo. Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells...
  4. Tiger B

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaopambana kupata "connections" za kwenda kwenye mafanikio wasome huu uzi

    Nikafikiri kuna madini mapya.
  5. Tiger B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

    Rais wa ukoo wenu labda.
  6. Tiger B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

    Mwenyekiti Mbowe una heshima moyoni mwangu.
  7. Tiger B

    JamiiForums Tanzania 3.5 white blood cells count iko sawa?

    Mods naombeni mfute huu uzi.
  8. Tiger B

    JamiiForums Tanzania 3.5 white blood cells count iko sawa?

    .
  9. Tiger B

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu baada ya kutembelea ziara Korea Kusini, wamarekani watoa uzushi

    Katika hili ninawaamini Wamarekani.
  10. Tiger B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Dubai, Oman na Zanzibar.
  11. Tiger B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila ataka Tume Huru ya Uchaguzi iwe chini ya Rais

    RC kiazi kweli.
Back
Top Bottom