Zt kuama chama kuna shida gani tambua nae ni binadamu ana haki na uhuru wa kuama chama au kuanzisha chake kwa kufuata taratibu lakini wengine munaumia sana lin kakwambiaa kuwa yeye ni ccm kama mnafiki sio wewe? Mtakoma umesahau kabla ya vyama vingi tulikuwa wana ccm leo kuna vyama vingapi...
Inapofika sehemu maisha ya watu yanakuwa hatalini kisa chakula kuna haja ya kuchukua mbadala na ndicho SAUT tumefanya leo kudai uhai wetu. Lazima selikari iwe makini na maisha ya watu.
Nidhahili kabisa taifa linawategemea vijana kama wakombozi wa kesho, chakushangaza watanzania hususani vijana bado wanajitenga na siasa kwa kutegemea kuwa mabadiliko yataletwa mbali na siasa.
Kwa kutambua kwamba mfumo wa utawala ndo nuru ya mabadiliko uijana hatuna budi kuwa chachu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.